Sipendi nyoka katika jina la Yesu
Nyoka gani usiemtaja vizuri?Sipendi nyoka katika jina la Yesu
Nyoka gani usiemtaja vizuri?
aaaghh nyoka wako wengi bhana, hayaSijamtaja vizurii???
Sijamtaja vizurii???
hupendi hata yule nyoka mweusi mfupi akipata hasira anaviba yeye hang'ati anatema sumu tu nyeupe . Zikikupata kama ww hapo unaanza kuvimba juu
aaaghh nyoka wako wengi bhana, haya