Nyodo zake zinaweza kua na tafsiri mbali mbali, ikiwemoKatika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Nyodo zake zinaweza kua na tafsiri mbali mbali, ikiwemo
1) Kwamba masogage ni Mtoto Alieumbika, Mrembo wa Kuvutia so pengine Nyodo zake ni katika kumteka akili Mwaky
2) Kwamba Masogange ana mtandao mkubwa (maboss zake) usiogusika na yeyote so anamuona Mwaky anapoteza muda tu
3) ...
Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Only Mwakyembe can answer this... By the way it's ridiculous kwa waziri kuletewa nyodo na raia, si umeona alichokifanya Albert Makonda kwa Manji?... Huu uzi una shake credibility ya Mwakyembe.Katika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?
Only Mwakyembe can answer this... By the way it's ridiculous kwa waziri kuletewa nyodo na raia, si umeona alichokifanya Albert Makonda kwa Manji?... Huu uzi una shake credibility ya Mwakyembe.
ila mi haijanishtua sana lolAjabu ipo
Waziri kukutana na kufahamiana na mtuhumiwa wa uhalifu
kama kweli wanafahamiana
Naona hujanielewa, nilikuwa nakupongeza kwa Great Thinking. I'm just a humble person and must bow greater minds than mine, JF wangeweka mtihani nisingefaulu.HAPA JF UKIFUATILIA ISSUE ZA GRAMMAR PAST PARTICIPLE IMPOSSIBLE TENSES NA UWEZO WA MTU DARASANI UTAPATA WAKATI MGUMU SANA NA UANAWEZA KUPACHUKIA.
KUKU AKIFUNGWA KAMBA HUCHEZA MUZIKI...UMEME UKIKATIKA TIMU YETU HUFUNGWAAAA.
BY THE WAY...KARIBU JF.....TUNAAMINI NAWE NI GREAT THINKER NDIO MAANA UKAKUBALIWA KUUNGANA NASI.