Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Hey guys ,,naomba mnitajie nyimbo nzuri zenye kuleta hisia ,,yaan unausikiliza wimbo mpaka unajisikia vizuri ,,,ziwe za kizungu,kiarabu,kiswahili,,mnaweza rusha hapa au unaweza taja jina la nyimbo na mwanamuziki alieimba ili niweze kudownload
Ni hayo tu
Ni hayo tu
