Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
me nazitaka unazo?ktk kipindi hiki cha kuelekea ktk ile sikukuu bora kabisa ya x-mas basi hapa ndipo jim reeves huwapiga bao Keny Roggers na Don William.
Jim Reeves ana nyimbo zake 12 hizo ni Balaa.
Then ukija kwa Bony M nae ana Feliz Navidad, Hooray Hooray its holy holy day, ribons of blue, pia wana nyimbo yao ya mwaka mpya ikifahamika kama Calendar Song, nyimbo hii inataja miezi 12 kwa kiinglish, pia wana nyimbo zao nyingine.
ABBA wao wanayo inaitwa Happy New Year.
Baba Gaston nae anayo ya kwake ya kuitwa Kakolele...
Kakolele mamaa kakoleleee
Kakolele maaa kakolelemaaaa
Kakolele mamamaa yelengie eeh
Masiya yo kolela nako yo mamaaa
Noele mamaa
Noe
Noele Mamaa
Noe
Noele mamaa Yesu amezaliwa
Viva x-mas
Viva x-mas
Viva x-mas
Yesu amezaliwa
Hizo zooote 9 sasa kuna hiyo wanasema...
Iyoooo x-mas iyoo iyooo
1 2 3 4
ii happy x-mas iyoo iyoooo
ii happy new year iyooo iyooooo x8
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
1 2 3 4
ii happy x-mas iyooo iyooooo
ii happy new year iyoo iyooooo x8....
Ok je nani anazitaka nyimbo zooote hizo?
Nani kakwambia?.ktk kipindi hiki cha kuelekea ktk ile sikukuu bora kabisa ya x-mas basi hapa ndipo jim reeves huwapiga bao Keny Roggers na Don William.
Jim Reeves ana nyimbo zake 12 hizo ni Balaa.
Then ukija kwa Bony M nae ana Feliz Navidad, Hooray Hooray its holy holy day, ribons of blue, pia wana nyimbo yao ya mwaka mpya ikifahamika kama Calendar Song, nyimbo hii inataja miezi 12 kwa kiinglish, pia wana nyimbo zao nyingine.
ABBA wao wanayo inaitwa Happy New Year.
Baba Gaston nae anayo ya kwake ya kuitwa Kakolele...
Kakolele mamaa kakoleleee
Kakolele maaa kakolelemaaaa
Kakolele mamamaa yelengie eeh
Masiya yo kolela nako yo mamaaa
Noele mamaa
Noe
Noele Mamaa
Noe
Noele mamaa Yesu amezaliwa
Viva x-mas
Viva x-mas
Viva x-mas
Yesu amezaliwa
Hizo zooote 9 sasa kuna hiyo wanasema...
Iyoooo x-mas iyoo iyooo
1 2 3 4
ii happy x-mas iyoo iyoooo
ii happy new year iyooo iyooooo x8
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
1 2 3 4
ii happy x-mas iyooo iyooooo
ii happy new year iyoo iyooooo x8....
Ok je nani anazitaka nyimbo zooote hizo?
Asante sana Madela Wa-Madilu, ukipata na nyingine tupeane mkuu.YouTube - Baba Gaston - Kakolele Viva Christmas Baba gaston Ilunga Wa Ilunga
Nawahi sana kushusha goli la kwanza niwapo kwenye GAME. Msaada tafadhalini!
nipo LA kitongoji cha kuitwa Comton house # c666 3rd floor room # 13A
Ishu ni kuwa huku niliko hazipatikani.
Dah!! nitashukuru sana endapo utanisaidia kwa hilo!Katavi, kwa hali ya upendo wa agape. naweza kukutumia CD ya hizo nyimbo?
Krismasi ni kati ya siku muhimu kwangu na nina CD nyingi na wakati kama huu lazima nisikilize mpaka mwisho wa Dec.