Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,583 Reaction score 66,268 Dec 5, 2022 #1 Nyimbo za Kombe la Dunia Waka Waka itabaki kuwa the best generation to generation, kwani ndiyo wimbo pekee wa Kombe la Dunia ambao haujawai chuja. Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga!
Nyimbo za Kombe la Dunia Waka Waka itabaki kuwa the best generation to generation, kwani ndiyo wimbo pekee wa Kombe la Dunia ambao haujawai chuja. Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga!
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,710 Dec 5, 2022 #2 Moja ya mashindano bora zaidi kuwahi kufanyika 2010
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,583 Reaction score 66,268 Dec 5, 2022 Thread starter #3 Una mkumbuka nini mwaka uho kwenye kombe la dunia Notorious thug said: Moja ya mashindano bora zaidi kuwahi kufanyika 201o Click to expand...
Una mkumbuka nini mwaka uho kwenye kombe la dunia Notorious thug said: Moja ya mashindano bora zaidi kuwahi kufanyika 201o Click to expand...
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,710 Dec 5, 2022 #4 Nakumbuka goli alilofunga Siphiwe Tshabalala
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,894 Reaction score 27,018 Dec 5, 2022 #6 Mwachiluwi said: Nyimbo za kombe la dunia waka waka itabaki kuwa the best generation to generation kwani ndio wimbo pekee wa kombe la dunia ambao haujawai chuja Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga Click to expand... Chama Arusha kinaozesha akili wewe,huyo hakupiga wakati akitunga wala wakati wa kuimba.
Mwachiluwi said: Nyimbo za kombe la dunia waka waka itabaki kuwa the best generation to generation kwani ndio wimbo pekee wa kombe la dunia ambao haujawai chuja Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga Click to expand... Chama Arusha kinaozesha akili wewe,huyo hakupiga wakati akitunga wala wakati wa kuimba.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,583 Reaction score 66,268 Dec 5, 2022 Thread starter #7 Notorious thug said: Nakumbuka goli alilofunga Siphiwe Tshabalala Click to expand... La mwaka uhu halina mvuto kabisa kina kim kim wameongilia kati mchezo
Notorious thug said: Nakumbuka goli alilofunga Siphiwe Tshabalala Click to expand... La mwaka uhu halina mvuto kabisa kina kim kim wameongilia kati mchezo
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,583 Reaction score 66,268 Dec 5, 2022 Thread starter #8 Bengal said: Chama Arusha kinaozesha akili wewe,huyo hakupiga wakati akitunga wala wakati wa kuimba. Click to expand... Angekuwa tz ningempa choda
Bengal said: Chama Arusha kinaozesha akili wewe,huyo hakupiga wakati akitunga wala wakati wa kuimba. Click to expand... Angekuwa tz ningempa choda
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,815 Reaction score 10,710 Dec 5, 2022 #9 Mwachiluwi said: La mwaka uhu halina mvuto kabisa kina kim kim wameongilia kati mchezo Click to expand... Limepoa sana
Mwachiluwi said: La mwaka uhu halina mvuto kabisa kina kim kim wameongilia kati mchezo Click to expand... Limepoa sana
Kitomari xxiv JF-Expert Member Joined Sep 26, 2021 Posts 1,285 Reaction score 12,572 Dec 5, 2022 #10 Waving flag_nayo ilikuwa ya moto pia