wimbo wangu bora kabisa huo. Umekukumbusha wapi?
We acha tu mwana kuna vitu vingine inabidi kumezea tu maana, haya maisha haya.
Lazima uwe mwimbo wako bora Curious Yeyo alitulia sana, hebu angalia mistari alivyoipangilia
You my boo like Usher and Alicia Keys...
And everytime that you touch me girl you please my needs...
We like Georjy and Wiz...
JADA and WILL...
Lets shop till we drop out in Bev Hills...
Yeyo noma, na chunguza G Unit vibao ambavyo yupo(mjela jela) Yeyo utaona vinakuwa vimetulia(vikali sana) tofauti na Loyd Banks.
Bila shaka ushawahi kuisikiliza G Unit mixtape yao ambayo imebeba namba ya kuitwa (I smell pu##y) ambayo wamemdiss JA, IRV Gott, au kwa lugha nyingine wamewadiss Murder Inc kwa ujumla katika kibao kile Yeyo na Fity wameondoka utamu sana tofauti na Loyd, na vibao vingi vya mle vikali sana ni vile ambavyo Yeyo yumo