L Leornado JF-Expert Member Nov 12, 2010 1,529 196 May 10, 2011 #1 Mkenya kwa jina la Stella Mwangi amefanikiwa kuingia nusu fainali ya shindano kubwa a muziki lujulikanalo kama Eurovision. Wimbo unakwenda kwa jina la Haba haba... cheki mwenyewe hapa chini mambo yalivyokuwa. Kiswahili juu. Jetzt im Livestream: Das erste Halbfinale | Das Erste: Eurovision Song Contest
Mkenya kwa jina la Stella Mwangi amefanikiwa kuingia nusu fainali ya shindano kubwa a muziki lujulikanalo kama Eurovision. Wimbo unakwenda kwa jina la Haba haba... cheki mwenyewe hapa chini mambo yalivyokuwa. Kiswahili juu. Jetzt im Livestream: Das erste Halbfinale | Das Erste: Eurovision Song Contest
Dr Lizzy Platinum Member May 25, 2009 30,822 59,435 May 11, 2011 #2 Niliusikia huo wimbo nikajisikia raha sana!!!!GO STL..