May be anataka afufuliwe. Sometime inakuaga mwanzo wa kufufuliwa . Utasikia kamwaga wino WCBWimbo mzuri sana, nimeanza kumkubali huyu dogo. Mr Nice kakubalije kushiriki kwenye hii video?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika muda ndio utasema wacha tusubiriWimbo mzuri sana, nimeanza kumkubali huyu dogo. Mr Nice kakubalije kushiriki kwenye hii video?
Sent using Jamii Forums mobile app