kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Siku hizi watu wanaangalia Pesa kuliko maadili.Mambo ya ngono ngono ndiyo inatawala sahivi
Ova
Hakuna madili tena siku hiziSiku hizi watu wanaangalia Pesa kuliko maadili.
Lile tangazo la Tigo la mtoto anamuuliza baba, umempataje mama? Unafikiri lina maadili?
Hizi zote zilikuwa nzuri kipind kile. Leo hii zimekuwa zilipendwa. Watu wanataka nyimbo za burudani zaidi kuliko kuelemisha na kuonya.Kastory by Jeby
Swahiba by Jeby
Mwanangu huna nidhamu by Dudu baya
Mwambie ukweli by Jide
Dingi by Man dojo & Domokaya
Usinichukie by Afande Sele
Nitafanya by Daz Nundaz
Pesa by Madee
Nipe ripoti by Tundaman
Mkuki moyoni by Afande
Maji ya shingo by Daz Nundaz
Umeondoka by Dudu baya
Umeondoka by Afande Sele
Malaria by Afande Sele
Machozi ya furaha by Jide
Barua album by Daz Nundaz
Ni baadhi ya nyimbo za kizazi kipya ambazo huwa zikipigwa ni nadra sana ubongo wangu kunasa vitu vingine kwa wakati huo........zipo nyingi
Kuburudisha si lazima uimbe mambo ya kudhalilisha utu wa mtu!Iwapo mzazi wako ndiyo anacho hicho kitu kinachoimbwa"wowowo" unadhani itajisikiaje wimbo huo ukipigwa?Hizi zote zilikuwa nzuri kipind kile. Leo hii zimekuwa zilipendwa. Watu wanataka nyimbo za burudani zaidi kuliko kuelemisha na kuonya.
Mwanaume mashine au haina ushemeji ndizo zinatamba kwa sasa.
Macho kweny pesa
Ushawai kumuuliza baba yako, alimpataje mama yako?Kuburudisha si lazima uimbe mambo ya kudhalilisha utu wa mtu!Iwapo mzazi wako ndiyo anacho hicho kitu kinachoimbwa"wowowo" unadhani itajisikiaje wimbo huo ukipigwa?
Ama wewe mwenyewe ukawa na maumbile madogo halafu mkeo akawa anaupenda sana wimbo huo utalipokeaje?Yaani wewe si mwanaume humo ndani?Au tuseme kwa sababu ya kuongezeka kwa mashoga ndio maana hata watoto wa kiume wengi wanashobokea nyimbo hizo?Hamjaona watoto wa kike wana madildo kwa kuwa hawaridhiki na maumbile ya wanaume?Kwa hiyo mmeona mtunge na nyimbo za kutukuza uchafu huo?
Sina chuki bali ninachukizwa na uchafu unaopewa nafasi kubwa zaidi na pengine cha ajabu ni pale ambapo huenda nao wanaamini hata boss wao si "mwanaume" kwani habari za machine yake zilishasemwa na mwanadada maarufu mtandaoni,kwa hiyo wanavyotukuza vitu kama hivyo ni kama wanamnanga pia boss wao.Unachuki na clouds fm.
"Watanzania wanapenda maendeleo lakini wanawachukia watu wenye maendeleo" By Justine Nyari
Muziki unaoishi ni muziki wenye pesa zaidi kuliko muziki unaoangalia pesa.Hizi zote zilikuwa nzuri kipind kile. Leo hii zimekuwa zilipendwa. Watu wanataka nyimbo za burudani zaidi kuliko kuelemisha na kuonya.
Mwanaume mashine au haina ushemeji ndizo zinatamba kwa sasa.
Macho kweny pesa
Mpaka watu kuanza kuandika nyimbo zisizokuwa na maadili chanzo ni ss watanzania.Muziki unaoishi ni muziki wenye pesa zaidi kuliko muziki unaoangalia pesa.
Kama tutaangalia, MJ alikuwa ndio mwenye pesa zaidi kwenye tasnia hiyo, nyimbo zako zikoje?
Ebu cheki nyimbo ya King Kikii, kitambaa cheupe....
Rangi ya chungwa....
Kajituliza kwake kasuku...
All in all, hao wanaofanya hiyo muziki ya shangwe na pesa hawana hizo pesa....ni kama bongo movie's. Chibu wakati anasema akaunti yake inasoma 1bn, alitumia miaka zaidi ya miwli kujenga nyumba ya thamani ya 260mil
Unamaanisha king kiki ana pesa kuliko diamond? Kitu ambacho haukijui katika industry, nyimbo ambayo inatrend haraka ndio inaingiza pesa kuliko nyimbo ambazo zinaishi, buble gum music ina pesa sana kamuuloze fidq kwa nini "sura mbili" haikutamba mbele ya "fresh". Ndio kizazi kinavyotaka na sanaa ni industy ya kama bakhresa anavyokuuzia energy drink. Hata huko ughaibuni ukisikiliza ngoma za kina krs-one, mass, big, pac zilikuwa zina mlengo mzuri lakini kizazi cha sasa kimewakubali sana waKina drake, wyne na minaj. Hitaji lako watu wanalifanyia biashara. Kama mtaani kwako wanapenda sana ufuska option itakuwa ni kujenga guest tu, ndivyo ilivyo.Muziki unaoishi ni muziki wenye pesa zaidi kuliko muziki unaoangalia pesa.
Kama tutaangalia, MJ alikuwa ndio mwenye pesa zaidi kwenye tasnia hiyo, nyimbo zako zikoje?
Ebu cheki nyimbo ya King Kikii, kitambaa cheupe....
Rangi ya chungwa....
Kajituliza kwake kasuku...
All in all, hao wanaofanya hiyo muziki ya shangwe na pesa hawana hizo pesa....ni kama bongo movie's. Chibu wakati anasema akaunti yake inasoma 1bn, alitumia miaka zaidi ya miwli kujenga nyumba ya thamani ya 260mil
Wrong perception........mob psychology, that's all I can say!Unamaanisha king kiki ana pesa kuliko diamond? Kitu ambacho haukijui katika industry, nyimbo ambayo inatrend haraka ndio inaingiza pesa kuliko nyimbo ambazo zinaishi, buble gum music ina pesa sana kamuuloze fidq kwa nini "sura mbili" haikutamba mbele ya "fresh". Ndio kizazi kinavyotaka na sanaa ni industy ya kama bakhresa anavyokuuzia energy drink. Hata huko ughaibuni ukisikiliza ngoma za kina krs-one, mass, big, pac zilikuwa zina mlengo mzuri lakini kizazi cha sasa kimewakubali sana waKina drake, wyne na minaj. Hitaji lako watu wanalifanyia biashara. Kama mtaani kwako wanapenda sana ufuska option itakuwa ni kujenga guest tu, ndivyo ilivyo.
Huenda tuligeuzie swali hili kwako dada,unaweza kumuuliza mama yako kwa nini alimkubali baba yako?Sikuelewa mantiki ya wewe kutaka kuanza kwa kuniuliza swali hilo.Ila dada yangu nakushauri tu kama Mungu kakujalia hicho kinachoimbwa wowowo,kuna watu wazima mama zetu,shangazi zetu na hata Dada zetu wengi wasiopenda kujadiliwa maumbo yao kwenye nyimbo.Mtu anaenda sokoni vijana wahuni wanamwimbia wowowo huku akiwa na mwanae ni aibu na inaweza kuchafua amaniUshawai kumuuliza baba yako, alimpataje mama yako?
Tuanzie hapo kwanza
Nimekuuliza swali hilo kimakusudi kbsa ili kupima uelewa wako kuhusu suala la maadili na nimegundua unahitaji elimu kuhusu haya mambo.Huenda tuligeuzie swali hili kwako dada,unaweza kumuuliza mama yako kwa nini alimkubali baba yako?Sikuelewa mantiki ya wewe kutaka kuanza kwa kuniuliza swali hilo.Ila dada yangu nakushauri tu kama Mungu kakujalia hicho kinachoimbwa wowowo,kuna watu wazima mama zetu,shangazi zetu na hata Dada zetu wengi wasiopenda kujadiliwa maumbo yao kwenye nyimbo.Mtu anaenda sokoni vijana wahuni wanamwimbia wowowo huku akiwa na mwanae ni aibu na inaweza kuchafua amani