Nyie wenzangu huwa mnafanya nini? Nishaurini kabla sijaamua pumba.

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,927
2,000
Kuna kajamaa kanatuma sms mfururizo za kujifanya kanamjari mke wangu huku kanavutia kanambutia kwake mara vipi umelala mama? pole na uchovu,mara mbona leo sijakuona nimekumiss? aisee a lot of fu....kin shit nimegundua kwenye simu ya huyu mama mtawala wangu coz siku nyingi mno sijawahi shika simu yake leo nimeona mapicha ya ajabu natamani niamue kitu ila naona kama nitakurupuka vile so nikaona bora niwashirikishe ndugu zangu kipi cha busara kuamua kwenye haka katatizo.
NB:Mwenzangu hajajua chochote kama nimepitia kwenye inbox yake.
 
UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303

Kusanya ushahidi vya kutosha then
1.Muite faragha kwa upole na kwa utulivu wa ajabu.Muulize jinsi anavyojisikia katika mahusiano yake(wewe na yeye). Muulize vipi anayafurahia ama bado hajapata alichokuwa anakitarajia kwenye mahusiano.

2.Muulize sasa kuhusu huyo kiumbe mbembelezaji. But make sure una ABC za huyo mwizi wako hata ikibidi google his details.

3. Chukua maamuzi kutokana na majibu ya 1 na 2! Kila la kheri!

NB:
never make permanent decisions based on temporary motives!
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
33,107
2,000
Kubwa kuliko yote Mkuu jitahidi sana kuongea
vizuri na mkeo kwanza maana
"Usihukumu ili Usije Ukahukumiwa Wewe"
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
23,771
2,000
Kuna kajamaa kanatuma sms mfururizo za kujifanya kanamjari mke wangu huku kanavutia kanambutia kwake mara vipi umelala mama? pole na uchovu,mara mbona leo sijakuona nimekumiss? aisee a lot of fu....kin shit nimegundua kwenye simu ya huyu mama mtawala wangu coz siku nyingi mno sijawahi shika simu yake leo nimeona mapicha ya ajabu natamani niamue kitu ila naona kama nitakurupuka vile so nikaona bora niwashirikishe ndugu zangu kipi cha busara kuamua kwenye haka katatizo.
NB:Mwenzangu hajajua chochote kama nimepitia kwenye inbox yake.

Mwanamke kutongozwa haipo ndani ya uwezo wake...hali hiyo itakoma siku atakapokufa...
 
MichazPipoz

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
534
195
Kwa nin hujamwambia bado mchane kwamba umeona upuuzi kwenye cm yake, mwonyeshe atolee maelezo ili baadae unavomzaba vibao asione mapya!
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,927
2,000
Kusanya ushahidi vya kutosha then
1.Muite faragha kwa upole na kwa utulivu wa ajabu.Muulize jinsi anavyojisikia katika mahusiano yake(wewe na yeye). Muulize vipi anayafurahia ama bado hajapata alichokuwa anakitarajia kwenye mahusiano.

2.Muulize sasa kuhusu huyo kiumbe mbembelezaji. But make sure una ABC za huyo mwizi wako hata ikibidi google his details.

3. Chukua maamuzi kutokana na majibu ya 1 na 2! Kila la kheri!

NB:
never make permanent decisions based on temporary motives!

Kajamaa nimepata details zake nyingi mno coz nimeingiza namba zake seraching injin ya fb nimeona mengi kuhusu yeye na nimesave picha zake na details muhimu.
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,927
2,000
Ulivyoangalia charting yao umeona response ya mkeo ikoje?

Hangaika na mkeo huyo jamaa achana nae isijekuta kaambiwa wewe ulisha R.I.P kitambo so ni mjane! Au labda alijitambulisha hana mpenzi au mume kabisa!

sent items simu yake kailimit kukeep history ya sms kumi tu so ndio nimekuta mbili tu akijibu kwa ufupi tu.
 
mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,626
2,000
Subiri mpaka ufumanie mkeo analiwa the uroda ndio ujue udhaifu upoje,ndio mwenzako ninavyofanyaga!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
pole kaka inauma kuna cm zina magic voice yaan unaongea wewe inaenda saut ya kike ungekua nayo ungechukua cm ya wife nakuanza kuzungumza nae au kuchat ili uujue ukwel.usikurupuke kuwa mpole utajua ukwel Mungu akupe ujacl maana inauma sana
 
Mwanawalwa

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,014
1,195
its hard to swallow , ila hayo yote ya kufukunyua simu ya mkeo umeyataka mwenyewe pole msikilizie tu kiaina ila dah kazi unayo , jifanyie evaluation labda payback period ishaisha
 
askarikambi

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
244
250
Mwanamke kutongozwa sio jambo la ajabu, tatizo ni pale atakapokubali kukusaliti. Na pia mawasiliano hujenga mahusiano, so kama anayaendeleza mawasiliano, ujue kiasi fulani kamkubali huyo jamaa. Na yeye kufanya hivyo sio lazima awe hakupendi tena au kuna alichokosa, anaweza kupotea njia tu, mwite ongea nae na mwambie kama bado anahitaji kujenga familia nawe, basi aache mara moja!
NB: Mkeo kutongozwa ujue mzuri/mrembo!
 
Thegame

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,250
2,000
MKUU Billie huyo ni mkeo, huo uchunguzi unaoshauriwa uufanye utasababisha mkeo amegwe, kwa sms ulizo tupia hapo inaonyesha bado huyo dogo hajammega mkeo ila bado anatafuta mwanya wa kufanya hivyo.
Solution hapo ni moja tu, kuvunja hayo mawasiliano yao.
Wewe ni mwanaume mvae mkeo huku jicho limekutoka umuambie hutaki kuona hayo mawasiliano tena. Pia mpigie huyo dogo mpe onyo!
Baada ya hapo ndio uendelee na uchunguzi wako!
 
segere

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
539
500
..mkuu kuna vitu ambavyo huwa haviguswi asikuambie mtu, pesa, mali na vinginevyo vinatafutwa na kupatikana haraka upendavyo lakini si mke, huyo jamaa anacheza na ubavu wako hivihivi waona!!!! bora hata angekuwa gf ningekuambia mkalishe chini mpatie ukweli..kwa hili la mke huyo jamaa anastahili kufunzwa adabu ya mjini na iwe haraka sana kabla nduguzo, rafikizo au jirani hawajaanza kukuuliza kaka vipi hujagundua tu kama unasidiwa?..na ndo hapo utafanya ujulikane zaidi ya Billie, tafadhari zuia hiyo kitu isifike mbali!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom