Nyie watu mmezidi sasa!

Excuse my French and pardon my vernacular.

Nyie watu hebu acheni u$€#%¥ bana.

Mmezidi sasa. You are doing the most.

Likijengwa tawi la CRDB huko Chato....ni nongwa!

Likijengwa jengo la kawaida kabisa la mahakama huko Chato....ni nongwa!

Vikiwekwa vijitaa viwili vitatu vya kuongozea magari kwenye ki intersection kimoja kwenye barabara huko Chato....ni nongwa!

Chochote sasa hivi kifanyikacho Chato....ni nongwa!

Hebu acheni utoto bana. Kwani huko sehemu zingine hayo mambo hayafanyiki?

Huko kwingine hakuna majengo mapya ya mahakama?

Huko Ludewa hakuna hakuna barabara hata moja ya lami?

Mnavyolialia humu utadhani huko kwingine hakuna lolote linalofanyika!

Kwa mwendo huu hata mtu akifungua kamgahawa kake hapo downtown Chato mtakuja tu humu kulialia.

What a bunch of self righteous snowflakes.

Knock it off already!
Sisi kama Chadema tunasema adui yetu ni raisi aliyeko madarakani wastaafu ni rafiki zetu ni "makamanda"
 
Kwa tunaoielewa Chuttle tuache tushangae na kulalama kwa matumizi mabaya ya kodi na upendeleo wa wazi na ajabu ambao hakuna Raisi katika awamu yoyote kabla ya hii aliyewahi kuufanya!
 
Excuse my French and pardon my vernacular.

Nyie watu hebu acheni u$€#%¥ bana.

Mmezidi sasa. You are doing the most.

Likijengwa tawi la CRDB huko Chato....ni nongwa!

Likijengwa jengo la kawaida kabisa la mahakama huko Chato....ni nongwa!

Vikiwekwa vijitaa viwili vitatu vya kuongozea magari kwenye ki intersection kimoja kwenye barabara huko Chato....ni nongwa!

Chochote sasa hivi kifanyikacho Chato....ni nongwa!

Hebu acheni utoto bana. Kwani huko sehemu zingine hayo mambo hayafanyiki?

Huko kwingine hakuna majengo mapya ya mahakama?

Huko Ludewa hakuna hakuna barabara hata moja ya lami?

Mnavyolialia humu utadhani huko kwingine hakuna lolote linalofanyika!

Kwa mwendo huu hata mtu akifungua kamgahawa kake hapo downtown Chato mtakuja tu humu kulialia.

What a bunch of self righteous snowflakes.

Knock it off already!
Kupitia hili andiko nmeamini kua lugha ya kiingereza sio alama ya kuelimika nilikuwa silifahamu hilo.
 
Tatizo sio ujumbe, tatizo ni mtoa ujumbe. Ngabu you are better than this budaa, take your time off jf for a while maana you 've been acting too depressed

Duh

Umekuwa psychologist?

Amazing 🤣🤣
 
Kwani hao wa kijijini hawalipi kodi? Na wao kuzitumia zi dhambi

Upumbavu wako umekuweka upofu! Kijijini unaweka traffic lights kwa fedha za walipa kodi?! Huoni ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma!!

Shithole!!
 
Bandiko langu lipo positive kuwa wote wanaochukia chato kujengwa wajiandae maana itajengwa zaidi
Excuse my French and pardon my vernacular.

Nyie watu hebu acheni u$€#%¥ bana.

Mmezidi sasa. You are doing the most.

Likijengwa tawi la CRDB huko Chato....ni nongwa!

Likijengwa jengo la kawaida kabisa la mahakama huko Chato....ni nongwa!

Vikiwekwa vijitaa viwili vitatu vya kuongozea magari kwenye ki intersection kimoja kwenye barabara huko Chato....ni nongwa!

Chochote sasa hivi kifanyikacho Chato....ni nongwa!

Hebu acheni utoto bana. Kwani huko sehemu zingine hayo mambo hayafanyiki?

Huko kwingine hakuna majengo mapya ya mahakama?

Huko Ludewa hakuna hakuna barabara hata moja ya lami?

Mnavyolialia humu utadhani huko kwingine hakuna lolote linalofanyika!

Kwa mwendo huu hata mtu akifungua kamgahawa kake hapo downtown Chato mtakuja tu humu kulialia.

What a bunch of self righteous snowflakes.

Knock it off already!
 
Hebu acheni utoto bana. Kwani huko sehemu zingine hayo mambo hayafanyiki?
Nitajie wilaya moja tu ambayo kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita, kumejengwa:-
1. Bohari ya Madawa (MSD)
2. International Airport
3. Hospitali ya Rufaa
4. Kumeanzishwa mbuga ya wanyama kwa kuhamisha wanyama sehemu nyingine na kupeleka huko, na
5. Mradi wa ujenzi wa nyumba kutoka NHC
 
Back
Top Bottom