Nyie watu mmezidi sasa!

NN mie ni wa kukaya mwenzio lakini kwenye hili inabidi huyu mtu tumshtue apunguze 4G anayotumia kule kwao!.. At least basi ayasambaze ukanda wote ule, ila siisikii Bariadi, Maswa. Kishapu, a stagnant Shy town etc just Chatto/Geita!!.
Sikatai ni maendeleo but its a waste of resources there!..
 
Shinyanga taa zipo. Jengo la mahakama [kuu] lilikuwa linajengwa. Sina hakika limefikia wapi.

CRDB na NBC na benki zinginezo zipo.

Bariadi hujui kuwa kuna tawi la CRDB ambalo ni relatively jipya?

Hujui kuwa Bariadi kuna taa za kuongozea magari?

Hujui kuwa siku hizi Bariadi ina jengo jipya la mahakama?

Hilo hapo jengo la mahakama, Bariadi.

D289915E-42B5-4C12-BDE0-A6735D5FD3B1.jpeg
 
Huku kijijini kwetu kuna notion kwamba ukijua kiinglish basi una some sort of experience + exposure ya maisha. Lakini NN ni kielelezo kwamba kujua American english sio habari. Ni mpuuzi kama wapuuzi watu jamii ya Musiba.
 
Nitajie wilaya moja tu ambayo kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita, kumejengwa:-
1. Bohari ya Madawa (MSD)
2. International Airport
3. Hospitali ya Rufaa
4. Kumeanzishwa mbuga ya wanyama kwa kuhamisha wanyama sehemu nyingine na kupeleka huko, na
5. Mradi wa ujenzi wa nyumba kutoka NHC
Chattle
 
Yo what up ma nigga?
 
Shinyanga taa zipo. Jengo la mahakama [kuu] lilikuwa linajengwa. Sina hakika limefikia wapi.
CRDB na NBC na benki zinginezo zipo.
Bariadi hujui kuwa kuna tawi la CRDB ambalo ni relatively jipya?
Hujui kuwa Bariadi kuna taa za kuongozea magari?
Hujui kuwa siku hizi Bariadi ina jengo jipya la mahakama?
Hilo hapo jengo la mahakama, Bariadi.
View attachment 1155315
'relatively jipya' really!?.. kuwa na mataa ain't a big deal man!, by the way aliyaweka toka waziri.
Hata kwa akili ndogo tu unaona kuna nguvu kubwa inaelekezwa sehemu moja kwa wakati mmoja!, that's what I'm trying to say here!..
 
Kama kuwa na mataa ain’t a big deal then why the fuss about Chato?

Chato don’t deserve traffic lights? 🚦
 
Ila wakongwe wa jf sijui ni nini kimewapata !!!.... Baadhi wamekuwa average kuliko New comers daahhh, wazee msitumie fake ID kutongozea tu maana mnaweza kuzitumia pia kutoa mawazo yenu ambayo unaona kabisa hisia zimeizidi nguvu ya akili ili mtunze heshima zenu

Sio habare ya ujumbe tu bali uwasilishaji wake

From an apolitic guy in JF
daah eti kutongozea
 
Kama kuwa na mataa ain’t a big deal then why the fuss about Chato?
Chato don’t deserve traffic lights? 🚦
Imagine Mkoa wa kigoma ndo kwanza leo nimeona kwenye habari umepata traffic lights wananchi wanazishangaa tu!.. nikuulize chato na kigoma wapi pana population kubwa?.
Leave aside that!, hiyo airport ingepelekwa Kahama will there have been fuss about it?. Kwani Chato ingekuwa a small airstrip kuacommodate safari zake then Kahama ingejengwa kuziacomodate bulyahulu n' buzwagi kungekuwa na tatizo!?..
 
Imagine Mkoa wa kigoma ndo kwanza leo nimeona kwenye habari umepata traffic lights wananchi wanazishangaa tu!.. Lets us each other chato na kigoma wapi pana population kubwa?.
Leave aside that!, hiyo airport ingepelekwa Kahama will there have been fuss about it?. Kwani Chato ingekuwa a small airstrip kuacommodate safari zake then Kahama ingejengwa kuziacomodate bulyahulu n' buzwagi kungekuwa na tatizo!?..

Muhimu ni kwamba Kigoma nao wamepata.

So wapi tatizo bana?

Airport ingejengwa Kahama bado watu wangelalama tu!
 
Nitajie wilaya moja tu ambayo kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita, kumejengwa:-
1. Bohari ya Madawa (MSD)
2. International Airport
3. Hospitali ya Rufaa
4. Kumeanzishwa mbuga ya wanyama kwa kuhamisha wanyama sehemu nyingine na kupeleka huko, na
5. Mradi wa ujenzi wa nyumba kutoka NHC
Hakunaaa
 
Shinyanga taa zipo. Jengo la mahakama [kuu] lilikuwa linajengwa. Sina hakika limefikia wapi.

CRDB na NBC na benki zinginezo zipo.

Bariadi hujui kuwa kuna tawi la CRDB ambalo ni relatively jipya?

Hujui kuwa Bariadi kuna taa za kuongozea magari?

Hujui kuwa siku hizi Bariadi ina jengo jipya la mahakama?

Hilo hapo jengo la mahakama, Bariadi.

View attachment 1155315
Lazima pawe na jengo jipya la mahakama kwa sababu Bariadi ni Makao Makuu ya Mkoa! Lakini huyo unayemtetea, mkoa mzima wa Geita hakuna Hospitali ya Rufaa lakini anaamua kwenda kujenga kijijini kwao Chato ambayo ipo pembezoni kabisa mwa mkoa wa Geita! Mkoa mzima wa Geita hakuna Bohari ya Madawa lakini anaenda kujenga Chato ambayo ipo pembezoni kabisa ya mkoa wa Kagera! Hata Makao Makuu ya nchi Dodoma hakuna International Airport, leo hii mtu anaenda kujenga international airport kijijini kwake Chato!

In short, Jiwe anaona aibu tu kuhamishia HQ ya Mkoa wa Geita kijijini kwao manake anachofanya hivi sasa, kila ambacho kilitakiwa kuwa makao makuu ya mkoa, yeye anakipeleka kijijini kwao! Na ndo maana nasema hapajawahi kutokea fisadi nchi hii kama Magufuli kwa sababu akina JK na tuhuma zao zote za ufisadi lakini hawakuwahi kuhamishia kila kitu Bagamoyo! Naona wanajifanya kuhamishia Sokwe kwenye mbuga za Karagwe na wapi sijui; kuna kila dalili wanachofanya ni kutuandaa kisaikolojia na lengo lao ni kuwapeleka Burigi, Chato!!
 
Back
Top Bottom