Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Unakuta mtu anataka muwe mnaishi maisha ya kuigiza ya kwenye muvi za kikorea!Tupo Africa sio korea na wale wanaigiza ili wapate hela ya kuendesha familia zao.Mambo ya kulazimisha waume zenu kuangalia muvi za kipumbavu kama zile ni upuuzi.
Unakuta mtu anataka mkae wote muangalie muvi za Kikorea ili muanze kuigiza na nyie ndani ya nyumba ukitaka kuangalia mpira hata, ukitoka kwenda kibanda umiza anachukia, sasa mi nifanyeje?Mnaboa aisee na kutaka kufundishana maisha ya maigizo!
Anyway msinimaind sana kuna mwenzenu kaniboa huku, ningekaa kimya ningemdunda mangumi!