Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,595
- 65,035
Mipango ya maendeleo baadae!Nyie wanawake acheni kututapeli..
Unakuta mtu uko na msimamo wako wa kufanya mambo fulani ya kimaendeleo, mara tu baada ya kupokea simu ya mrembo anakubembeleza kwa maneno malaini, anakupa hisia mpaka unahisi uko naye karibu, ikiwezekana anakuvua nguo kwa simu na anakuambia anataka ile kitu....mara unajikuta network ya kichwa imekata; na kufanya maamuzi ya kumfuata kule aliko. Kuja kushtuka unajikuta umefanya matumizi ya anasa ambayo fedha yake ingekusaidia katika kufanya mambo ya msingi hasa ya kimaendeleo. Mabaharia, mnapambana vipi na hii hali?
ha ha ha mkuu ukikutana na hali hii unafanyaje?Unaruhusu kichwa kidogo cha chini kiongoze kichwa kikubwa cha juu. Hilo ndio tatizo lako.
ha ha ha kwa nini mkuu?
Kweli mkuu,inabidi kukaa pembeni kuepusha msongamano"Wanawake siku zote wanahudumiwa na wanaume"
Ukiona huwezi kaa pembeni wanaoweza wakusaidie.
Kwa mazingira hayo mkuu,ungekuwa na msimamopengine Mungu amekujaribu kuona una msimamo kiasi gani ila unaishia kuwalaumu wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
yah ningekua nao Chief coz sina nyege mshindo.Kwa mazingira hayo mkuu,ungekuwa na msimamo
Kwa nini mkuuKuzaliwa mwanamke ni thamani.
ha ha ha ha
Nyie wanawake acheni kututapeli..
Unakuta mtu uko na msimamo wako wa kufanya mambo fulani ya kimaendeleo, mara tu baada ya kupokea simu ya mrembo anakubembeleza kwa maneno malaini, anakupa hisia mpaka unahisi uko naye karibu, ikiwezekana anakuvua nguo kwa simu na anakuambia anataka ile kitu....mara unajikuta network ya kichwa imekata; na kufanya maamuzi ya kumfuata kule aliko. Kuja kushtuka unajikuta umefanya matumizi ya anasa ambayo fedha yake ingekusaidia katika kufanya mambo ya msingi hasa ya kimaendeleo. Mabaharia, mnapambana vipi na hii hali?
ha ha ha mkuu nakuona unafuraha kila kona,sema neno
ha ha ha nina barakoa mkuu