Mkuu unapigwa vizinga hadi kwenye vocha????😛😛😛Nyie wasichana mnaojiita wanawake mnaponunua Simu kumbuka kuwa zinatumia vocha!kama huna hata uwezo wa kujinunulia vocha kwa matumizi yenu wenyewe mnanunua ili iweje?
Tumechoka baby baby nitumie vocha Mara MB rubbish
Kweli akiiMwanamke anaomba mtaji sio vocha!
Anadate wanafunzi wa secondary wataacha kuomba vocha sasa!
Visichana vyenye kazi nani asiyevijua baby njoo Masaki hapa utasikia baby Gari haina Mafuta leo wenye kazi nao ni mafala tuuTatizo unadate na visichana visivyo na kazi
Visichana vyenye kazi nani asiyevijua baby njoo Masaki hapa utasikia baby Gari haina Mafuta leo wenye kazi nao ni mafala tuu
hahahaha demiss cha mdeko nIkumbuka vocha yako mamaTatizo unadate na visichana visivyo na kazi
sio kwa povu hili nguo namalizia kufuliaNi visichana kumbe.hana kazi wala ujira wowote.unataka akamuombe mzazi wake vocha aje akutext wewe!?JIHESHIMU
Wanaume siku hizi wamekua walalamikaji kuliko ata wanawake.wazazi sasa wasemeje wanamvisha,mlisha na kulala juu,wewe unakuja kudinya tuu hata mahali hufikirii kutoa wala kumuoa.bure yaan unakula mzigo.....utam mnapata wote yes lakn wanawake sio siku zote tunaashik ya kuliwa,Kuna mda tunafanya km wajibu ama kuwaridhisha tu ama msaada.
Fala Sana wewe kijana.
hahahaha demiss cha mdeko nIkumbuka vocha yako mama
ni kweli kuna siku ulikuwa poa sanaOooh mm hata sikumbki
Mkuu unapigwa vizinga hadi kwenye vocha????😛😛😛
Visichana vyenye kazi nani asiyevijua baby njoo Masaki hapa utasikia baby Gari haina Mafuta leo wenye kazi nao ni mafala tuu
Usipokubali kuliwa kidogo huli mkuu
![]()