Nyie vijisichana!

Nyie vijisichana!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Nyie wasichana mnaojiita wanawake mnaponunua Simu kumbuka kuwa zinatumia vocha!kama huna hata uwezo wa kujinunulia vocha kwa matumizi yenu wenyewe mnanunua ili iweje?
Tumechoka baby baby nitumie vocha Mara MB rubbish
 
umechokaa wewee sheik sisi mbonaaa kawaidaa...hela ndogo ndogo
 
Mkuu unaanzisha chat na msichana na unategemea ajibu meseji zako. Sasa kama hana salio unayegemea atajibu vipi?
Kama umeamua kujiwekea usione tabu kuhudumia..vizuri gharama mkuu!
 
Huyu nae mwanaume au mvulana?

Kwanin unaombwa vocha?

Tafuta wanawake achana na visichana.
 
Ni visichana kumbe.hana kazi wala ujira wowote.unataka akamuombe mzazi wake vocha aje akutext wewe!?JIHESHIMU

Wanaume siku hizi wamekua walalamikaji kuliko ata wanawake.wazazi sasa wasemeje wanamvisha,mlisha na kulala juu,wewe unakuja kudinya tuu hata mahali hufikirii kutoa wala kumuoa.bure yaan unakula mzigo.....utam mnapata wote yes lakn wanawake sio siku zote tunaashik ya kuliwa,Kuna mda tunafanya km wajibu ama kuwaridhisha tu ama msaada.
Fala Sana wewe kijana.
 
Nyie wasichana mnaojiita wanawake mnaponunua Simu kumbuka kuwa zinatumia vocha!kama huna hata uwezo wa kujinunulia vocha kwa matumizi yenu wenyewe mnanunua ili iweje?
Tumechoka baby baby nitumie vocha Mara MB rubbish[/QUOTE ZIRO IQ hana tatizo na na hilo!
 
Mkuu jipime hapa, vya kunyonga (bebe naomba vocha, MB/bando limeisha)....vya kuchinja (mama amelazwa yupi ICU, bebe, nitumie hata kiasi kidogo kumuokoa mama, mdogo wangu amefukuzwa kwa sababu ya ada, nongezee hela kidogo gesi imeisha, etc, etc,). Kwa hali hiyo unaweza wapi?

Kiufupi ni kwamba ukipenda boga usiyaache maua yake, na hayo hapo juu ni matokeo ya dating.
😀
 
Wewe ni mvulana, lazima u date visichana, ila mwanaume lazima a date mwanamke.

Sorry kama wewe ni mwanaume nimekuita mvulana.
 
Back
Top Bottom