Huwapati ng'oo....wanaijua hela hao!
swali la kwanza: Haiwezekanikiwanja cha 20 kwa 25 unaweza kujenga nyumba?20 kwa 40 je?
ghorofa single storey kwa million 60 inawezekana?km sio shiling ngapi inatosha???
nani anikopeshe millioni 25 dada yenu ninunue kiwanja cha kujidai.....:smile-big:🙂:tape:
swali la kwanza: Haiwezekani
Swali la pili : Inatosha
Swali la Tatu: Una dhamani gani ili ukopeshwe? NB: Mbunye siyo dhamana
Siyo viwanja vya kujidai. Labda hiyo 20x40 . nacho bado ni cha kujibana. Kiwanja cha kujidai angalau kianzie 26 x40 na ujenge gorofathanks wangu,before we go any further naomba unihakikishie kiwanja cha 20*40 hakitoshi kujenga nyumba?