Nyie kinadada zetu hivi kule Facebook huwa mnauza nini?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
upload_2017-5-13_20-18-58.png
 
Enzi ya utumwa , waafrica waliunzwa kama bidhaa , wakitwezwa mbele za watu wakigeuzwa geuzwa pande zote za miiilli yao kudhaminisha biashara kwa wateja wanaonunua watu hao,

Siku hizi nikama biashara yabutimwa bado ipo na inafanyika kupotia mitandao, mtu ananidhaminisha mwenyewe hadi kalio, kifua, manyonyo, miguu, kichwa, huko nikuji tweza kiliko pitiliza,

Bilashaka wakoloni wakipitia mwenye hii mitandao tunayoweka ma picha yetu wanatushangaa sana kwani tumekataa nini na sasa tunafanya nini, maana kama mtu anaonyesha kila sehemu ya mauongo yake tena kwa mapozi mbali mbali inatofauti gani na wakati ule watu wakiuzwa sokoni nakugeuzwa geuzwa kama bidhaaa
 
Ukichunguza sana wanao post picha za mahabat Facebook ni barmed, bek3, form2, wahaya Wa madangulo, kahaba na Malaya. wengine ni wale limbuken Wa smartphone!
Jf wengi wanajtambua sijui kwa nn wakati yote ni mitandao!
Ni kweli kabisa.
 
Kwanini tuwe mahakimu wa maisha ya watu wengine?

Huu ni zaidi ya udikteta uchwara, kila mmoja na aishi maisha yake. Hiyo picha ni ya kawaida sana.
 
Back
Top Bottom