Utakua hunitendei haki kweli nashinda Gym toka saa 11 mpaka saa 2 usiku.....Siku nikipata fursa napanda masaa matatu nje ndani mwanzo mwisho...Hapana asee labda sekta ingine
@Madame S kamata like za kutosha nitafute jion walau upate supu ya kuku
Na wewe acha kujipa sifa za kijinga huyo ni mkeo sio malaya wa kununua, unaweza kukaa kifuani kwake dakika 15 na ukamridhisha hata kwa goli moja
loooh!!!!Hicho kiazi ni sababu tu, humkuni vizuri ndiyo tatizo lote lipo hapo. Chunguza.