PRO 90
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 296
- 769
Ulivyosema SLB... Umenikumbusha mbali sana.Unajua buana kujifanya fanya na kujimwambafy sometime kuna faida ila sometime unaweza umbuka,..sasa china jeur zote hzo ..kua mnamfukuzia Mmarekan nyuma nin nanini..kudindishiana kila siku na wakubwa
Jamani wazungu waachen ,wazungu ni wealthy pipo,kataen mkubali,..wazungu wameshamalizaga strugle za hapa dunian...mim nimetembea kdgo ngambo enz za kutapatapa kwenye mimeli ya mafuta huko,so nmezunguka kdgo..enz za schlumberger zile na BG,mnaojua mtakua mmenielewa
Corona tuu inamtoa jasho mchina,..china kwa upande mwingne mi naona bado ni 3rd world country tuu,.according to washkaj zangu waliosoma china,wanasema kuna maeneo china ni hovyo kabisa...ila ulaya huwez kuta hvyo,nadra saaana....kwanza wachafu...
Sasa kama chanjo tuu ni ishu had wazungu waingilie kat bas nadirik kusema China ni 3rd world country
Uzi tayar
Ila Western nao wanajimwambafy mzee.. Kiuhalisia kila haiko perfect homeless kibao huko mbele.
Ni kawaida tu mzee. Ila China nawaelewa vile wanakuja fasta sana na almost ktk mambo mengi hata ya kibabe hawategemei sapoti ya mtu.
Kama China ndio angekuw na history ya kuwa na makoloni kama baadhi ya nchi, ingekuwa ni story nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app