Nyie CHINA si superpower nyie...vip mbona mnatia huruma sasa

Unajua buana kujifanya fanya na kujimwambafy sometime kuna faida ila sometime unaweza umbuka,..sasa china jeur zote hzo ..kua mnamfukuzia Mmarekan nyuma nin nanini..kudindishiana kila siku na wakubwa

Jamani wazungu waachen ,wazungu ni wealthy pipo,kataen mkubali,..wazungu wameshamalizaga strugle za hapa dunian...mim nimetembea kdgo ngambo enz za kutapatapa kwenye mimeli ya mafuta huko,so nmezunguka kdgo..enz za schlumberger zile na BG,mnaojua mtakua mmenielewa

Corona tuu inamtoa jasho mchina,..china kwa upande mwingne mi naona bado ni 3rd world country tuu,.according to washkaj zangu waliosoma china,wanasema kuna maeneo china ni hovyo kabisa...ila ulaya huwez kuta hvyo,nadra saaana....kwanza wachafu...

Sasa kama chanjo tuu ni ishu had wazungu waingilie kat bas nadirik kusema China ni 3rd world country

Uzi tayar
Ulivyosema SLB... Umenikumbusha mbali sana.

Ila Western nao wanajimwambafy mzee.. Kiuhalisia kila haiko perfect homeless kibao huko mbele.

Ni kawaida tu mzee. Ila China nawaelewa vile wanakuja fasta sana na almost ktk mambo mengi hata ya kibabe hawategemei sapoti ya mtu.

Kama China ndio angekuw na history ya kuwa na makoloni kama baadhi ya nchi, ingekuwa ni story nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawee walikutema nin...

Kuna PhD mmoja alinifundisha chuo fulani hapa Tz, aliniambia kuwa, ukisikia G7 ujue ni matajiri sio kitoto na hao China bado sanaa, aliongeza kwa kusema kuwa ameishi katika nchi zote za G7 pamoja na China, hivyo labda miaka 50 ijayo ndio itawafikia maana jamaa wamemaliza kila kitu binadamu anahitaji na sasa wanaishi. Ni sawa tu na kusema, kijana kutumia vizuri ujana na uzee wake anafurahia maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
China ina uchumi mkubwa lakini sio developed,
Yaani sehemu yake kubwa bado ni duni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China imeuza raia wake.

Yaani Imeweka Mazingira Kwa Wazungu Wanaotaka Kufungua Biashara China Kuwa Ya Gharama Ndogo, Kwa Kuwalipa Wachina Ujira Kiduchu.

Sasa Mzungu Akizalisha Bidhaa Yake Kwa Gharama Ndogo Na Kuiuza Nje Ya Nchi, Inaonekana China Kaexport Sana Na Hivyo Uchumi Kukua.

Kumbe Beneficiaries Wakubwa Wa Exports China Ni Wazungu Wale Wale.

Mzungu Hawezi Kufanya Kazi Kwa Malipo Kiduchu, Bila Likizo, Bima Na Prestige Ila Mchina Mpaka Zege Anabeba
Uko sahihi kabisa
 
Chanjo haiibuki tu siku moja,inachukua miezi 3 Kama walivyodai.
Huo Ni ugonjwa mpya na umekuja na panick,
Mfano US kw mwaka wanakufa raia 50,000,kwa mafua na flue.
Sasa hiyo Corona ha ijafika hata vifo 2000,,
Seema watu wamepanick
China pia watu wanakufa mkuu, hamna nchi ambayo watu hawafi.
Huu ni ugonjwa wa mlipuko ambao tayari umeathiri watu 4000 na kuua watu zaidi ya 200 ndani ya kipindi kifupi

China ina uchumi mkubwa lakini sio developed, kiuhalisia ni kuwa kwenye ule ukanda wao pale Japan, Korea, China ndio ya mwisho kwa maendeleo
Japo ina uchumi mkubwa unaotokana na idadi ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyosema SLB... Umenikumbusha mbali sana.

Ila Western nao wanajimwambafy mzee.. Kiuhalisia kila haiko perfect homeless kibao huko mbele.

Ni kawaida tu mzee. Ila China nawaelewa vile wanakuja fasta sana na almost ktk mambo mengi hata ya kibabe hawategemei sapoti ya mtu.

Kama China ndio angekuw na history ya kuwa na makoloni kama baadhi ya nchi, ingekuwa ni story nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
China ana idadi kubwa ya watu tu, ambayo ndio inafanya GDP yake kuwa kubwa (kama una basics za uchumi utaelewa)
Ila kimaendeleo,,China bado sana, kwenye ukanda wao imepitwa na nchi zote, Korea, Japan hata Taiwan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi ni supapawa km unakumbuka wajeda wetu wanacopasua matofari wkt wa sherehe za Uhuru...
 
China ana idadi kubwa ya watu tu, ambayo ndio inafanya GDP yake kuwa kubwa (kama una basics za uchumi utaelewa)
Ila kimaendeleo,,China bado sana, kwenye ukanda wao imepitwa na nchi zote, Korea, Japan hata Taiwan

Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa, vema. Kabisa, ndio maana sijapigania kuwa wao ni bora kihivyo kiuchumi, lakina hebu fanya comparison na nchi nyingine yenye idadi kuwa ya watu. Like INDIA. hatua zao zina fanana??

China nacho wa proud ni hatua wanazo zipiga kila uchao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanjo haiibuki tu siku moja,inachukua miezi 3 Kama walivyodai.
Huo Ni ugonjwa mpya na umekuja na panick,
Mfano US kw mwaka wanakufa raia 50,000,kwa mafua na flue.
Sasa hiyo Corona ha ijafika hata vifo 2000,,
Seema watu wamepanick
lol
 
Ulivyosema SLB... Umenikumbusha mbali sana.

Ila Western nao wanajimwambafy mzee.. Kiuhalisia kila haiko perfect homeless kibao huko mbele.

Ni kawaida tu mzee. Ila China nawaelewa vile wanakuja fasta sana na almost ktk mambo mengi hata ya kibabe hawategemei sapoti ya mtu.

Kama China ndio angekuw na history ya kuwa na makoloni kama baadhi ya nchi, ingekuwa ni story nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
sure....
 
unaiongelea nchi ambayo mwaka 1943 ilikuwa inatawaliwa na uingereza na japan....lakini sasa hivi nchi hiyo inauchumi mkubwa kuliko hata watawala wake ...tena ni katika kipindi cha miaka michache tu

china ipewe heshima yake
 
Naelewa, vema. Kabisa, ndio maana sijapigania kuwa wao ni bora kihivyo kiuchumi, lakina hebu fanya comparison na nchi nyingine yenye idadi kuwa ya watu. Like INDIA. hatua zao zina fanana??

China nacho wa proud ni hatua wanazo zipiga kila uchao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapa si tunalinganisha China na nchi nyingine zenye nguvu duniani, yaani Marekani na Ulaya, Japan, Korea, Russia

India ni shithole tu kama Africa
 
unaiongelea nchi ambayo mwaka 1943 ilikuwa inatawaliwa na uingereza na japan....lakini sasa hivi nchi hiyo inauchumi mkubwa kuliko hata watawala wake ...tena ni katika kipindi cha miaka michache tu

china ipewe heshima yake
Nigeria ina uchumi mkubwa kuliko Finland, ila kimaendeleo Finland ilivyoiacha Nigeria ni kama mbingu na Ardhi
GDP ya China inatokana na population kubwa, ila kimaendeleo ukiilinganisha na USA au Ulaya bado sana
 
Back
Top Bottom