Nyie CHINA si superpower nyie...vip mbona mnatia huruma sasa

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Unajua buana kujifanya fanya na kujimwambafy sometime kuna faida ila sometime unaweza umbuka,..sasa china jeur zote hzo ..kua mnamfukuzia Mmarekan nyuma nin nanini..kudindishiana kila siku na wakubwa

Jamani wazungu waachen ,wazungu ni wealthy pipo,kataen mkubali,..wazungu wameshamalizaga strugle za hapa dunian...mim nimetembea kdgo ngambo enz za kutapatapa kwenye mimeli ya mafuta huko,so nmezunguka kdgo..enz za schlumberger zile na BG,mnaojua mtakua mmenielewa

Corona tuu inamtoa jasho mchina,..china kwa upande mwingne mi naona bado ni 3rd world country tuu,.according to washkaj zangu waliosoma china,wanasema kuna maeneo china ni hovyo kabisa...ila ulaya huwez kuta hvyo,nadra saaana....kwanza wachafu...

Sasa kama chanjo tuu ni ishu had wazungu waingilie kat bas nadirik kusema China ni 3rd world country

Uzi tayar
 
Mkuu kumbuka maiti haijioshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China imeuza raia wake.

Yaani Imeweka Mazingira Kwa Wazungu Wanaotaka Kufungua Biashara China Kuwa Ya Gharama Ndogo, Kwa Kuwalipa Wachina Ujira Kiduchu.

Sasa Mzungu Akizalisha Bidhaa Yake Kwa Gharama Ndogo Na Kuiuza Nje Ya Nchi, Inaonekana China Kaexport Sana Na Hivyo Uchumi Kukua.

Kumbe Beneficiaries Wakubwa Wa Exports China Ni Wazungu Wale Wale.

Mzungu Hawezi Kufanya Kazi Kwa Malipo Kiduchu, Bila Likizo, Bima Na Prestige Ila Mchina Mpaka Zege Anabeba
 
Weng hawajui hili,...
 
Chanjo haiibuki tu siku moja,inachukua miezi 3 Kama walivyodai.
Huo Ni ugonjwa mpya na umekuja na panick,
Mfano US kw mwaka wanakufa raia 50,000,kwa mafua na flue.
Sasa hiyo Corona ha ijafika hata vifo 2000,,
Seema watu wamepanick
 
In total, the CDC estimates that up to 42.9 million people got sick during the 2018-2019 flu season, 647,000 people were hospitalized and 61,200 died.Jun 20, 2019
1580485956529.png

TIME Homepage › 2018-2019-flu-se...
2018-2019 Flu Season Was the Longest in 10 Years, CDC Says | ...
 
Kuna PhD mmoja alinifundisha chuo fulani hapa Tz, aliniambia kuwa, ukisikia G7 ujue ni matajiri sio kitoto na hao China bado sanaa, aliongeza kwa kusema kuwa ameishi katika nchi zote za G7 pamoja na China, hivyo labda miaka 50 ijayo ndio itawafikia maana jamaa wamemaliza kila kitu binadamu anahitaji na sasa wanaishi. Ni sawa tu na kusema, kijana kutumia vizuri ujana na uzee wake anafurahia maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina ni mtu wa kucopy na kupaste. Akiona kitu kizuri kimetengenezwa basi na yeye anaigilizia na anatoa kitu kama hicho hicho. Hapo mpaka asubiri msaada wa Marekani au uingereza.
Marekani katuma ndege China kuwachukua raia zake, Uingereza na Ufaransa hivyo hivyo. Njooni hata kama mna Corona tutawatibu huku. Nchi yangu, wananchi walioko China mbaki huko huko. Kama uliweza kwenda China kwa nauli yako, unashindwaje kuja? Tusichoshane mbaki huko huko
 
China walisema wanatengeneza OS ya simu yao baada ya kupigwa ban na Google lakini matokeo yake. Alipiga goti kwa Google ili aendelee kutumia Android. Ukija kwenye computer os unakutana na Linux na Windows. Simu Android, IOS na Java. Mchina anafanya biashara kiujanja ujanja. Bora hata mhindi tunajifunza Computer maintenance na Phone repair kupitia wao.
Mkuu kumbuka maiti haijioshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua buana kujifanya fanya na kujimwambafy sometime kuna faida ila sometime unaweza umbuka,..sasa china jeur zote hzo ..kua mnamfukuzia Mmarekan nyuma nin nanini..kudindishiana kila siku na wakubwa

Jamani wazungu waachen ,wazungu ni wealthy pipo,kataen mkubali,..wazungu wameshamalizaga strugle za hapa dunian...mim nimetembea kdgo ngambo enz za kutapatapa kwenye mimeli ya mafuta huko,so nmezunguka kdgo..enz za schlumberger zile na BG,mnaojua mtakua mmenielewa

Corona tuu inamtoa jasho mchina,..china kwa upande mwingne mi naona bado ni 3rd world country tuu,.according to washkaj zangu waliosoma china,wanasema kuna maeneo china ni hovyo kabisa...ila ulaya huwez kuta hvyo,nadra saaana....kwanza wachafu...

Sasa kama chanjo tuu ni ishu had wazungu waingilie kat bas nadirik kusema China ni 3rd world country

Uzi tayar
Yanatokea China kama yangetokea hapa Bongo basi idadi ya waliopoteza maisha ingeshafikia Buku moja na ushee
 
China imeuza raia wake.

Yaani Imeweka Mazingira Kwa Wazungu Wanaotaka Kufungua Biashara China Kuwa Ya Gharama Ndogo, Kwa Kuwalipa Wachina Ujira Kiduchu.

Sasa Mzungu Akizalisha Bidhaa Yake Kwa Gharama Ndogo Na Kuiuza Nje Ya Nchi, Inaonekana China Kaexport Sana Na Hivyo Uchumi Kukua.

Kumbe Beneficiaries Wakubwa Wa Exports China Ni Wazungu Wale Wale.

Mzungu Hawezi Kufanya Kazi Kwa Malipo Kiduchu, Bila Likizo, Bima Na Prestige Ila Mchina Mpaka Zege Anabeba
Hiyo mbuni wazungu wanaitumia sana kwenye nchi za Asia.
 
China imeuza raia wake.

Yaani Imeweka Mazingira Kwa Wazungu Wanaotaka Kufungua Biashara China Kuwa Ya Gharama Ndogo, Kwa Kuwalipa Wachina Ujira Kiduchu.

Sasa Mzungu Akizalisha Bidhaa Yake Kwa Gharama Ndogo Na Kuiuza Nje Ya Nchi, Inaonekana China Kaexport Sana Na Hivyo Uchumi Kukua.

Kumbe Beneficiaries Wakubwa Wa Exports China Ni Wazungu Wale Wale.

Mzungu Hawezi Kufanya Kazi Kwa Malipo Kiduchu, Bila Likizo, Bima Na Prestige Ila Mchina Mpaka Zege Anabeba
Kuna jamaa nilimwambiaga hii mambo akabisha sana nikaachana naye nikaenda zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanjo haiibuki tu siku moja,inachukua miezi 3 Kama walivyodai.
Huo Ni ugonjwa mpya na umekuja na panick,
Mfano US kw mwaka wanakufa raia 50,000,kwa mafua na flue.
Sasa hiyo Corona ha ijafika hata vifo 2000,,
Seema watu wamepanick
Ningekukosa wewe mwarabu wa kayenze kwenye huu uzi ningeshangaa sana

Yaan wewe uko Against USA every day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom