Nyie CHINA si superpower nyie...vip mbona mnatia huruma sasa

Screenshot_20200131-211643~2.png
 
Unajua buana kujifanya fanya na kujimwambafy sometime kuna faida ila sometime unaweza umbuka,..sasa china jeur zote hzo ..kua mnamfukuzia Mmarekan nyuma nin nanini..kudindishiana kila siku na wakubwa

Jamani wazungu waachen ,wazungu ni wealthy pipo,kataen mkubali,..wazungu wameshamalizaga strugle za hapa dunian...mim nimetembea kdgo ngambo enz za kutapatapa kwenye mimeli ya mafuta huko,so nmezunguka kdgo..enz za schlumberger zile na BG,mnaojua mtakua mmenielewa

Corona tuu inamtoa jasho mchina,..china kwa upande mwingne mi naona bado ni 3rd world country tuu,.according to washkaj zangu waliosoma china,wanasema kuna maeneo china ni hovyo kabisa...ila ulaya huwez kuta hvyo,nadra saaana....kwanza wachafu...

Sasa kama chanjo tuu ni ishu had wazungu waingilie kat bas nadirik kusema China ni 3rd world country

Uzi tayar
Wamezidi nao kupenda kula Sana Hadi popo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China imeuza raia wake.

Yaani Imeweka Mazingira Kwa Wazungu Wanaotaka Kufungua Biashara China Kuwa Ya Gharama Ndogo, Kwa Kuwalipa Wachina Ujira Kiduchu.

Sasa Mzungu Akizalisha Bidhaa Yake Kwa Gharama Ndogo Na Kuiuza Nje Ya Nchi, Inaonekana China Kaexport Sana Na Hivyo Uchumi Kukua.

Kumbe Beneficiaries Wakubwa Wa Exports China Ni Wazungu Wale Wale.

Mzungu Hawezi Kufanya Kazi Kwa Malipo Kiduchu, Bila Likizo, Bima Na Prestige Ila Mchina Mpaka Zege Anabeba
wewe mkaruka unatuaibisha wazanaki population ya China ni Mara 4 zaidi ya population ya U.S.A bado unataka kuwalinganisha kwenye quality ya maisha utafeli bro!
 
China imeuza raia wake.

Yaani Imeweka Mazingira Kwa Wazungu Wanaotaka Kufungua Biashara China Kuwa Ya Gharama Ndogo, Kwa Kuwalipa Wachina Ujira Kiduchu.

Sasa Mzungu Akizalisha Bidhaa Yake Kwa Gharama Ndogo Na Kuiuza Nje Ya Nchi, Inaonekana China Kaexport Sana Na Hivyo Uchumi Kukua.

Kumbe Beneficiaries Wakubwa Wa Exports China Ni Wazungu Wale Wale.

Mzungu Hawezi Kufanya Kazi Kwa Malipo Kiduchu, Bila Likizo, Bima Na Prestige Ila Mchina Mpaka Zege Anabeba
Faida kubw ilipatikana kwenye ajira na technology transfer,wachina wakamove kutoka kutengeneza baiskeli za phone Hadi kuunda aircraft carrier ndani ya miaka 20 tu,
Mapato pia yakaongezeka juu ya Kodi,China ndo nchi pekee inaweza kufanya mradi hata wa dola bilioni 50 kwa mda mfupi na bado reserve yao iko vizuri
 
Ni kweli na wanapiga hatua sana ila kusema kwamba wako vizuri sana kama nchi za ulaya na maerkani ni uwongo.
 
China ni 3rd world nation Hyo inafahamika japo so kweli. Wao pia hawataki to be categorized in first and second world Wana maana yao. Kuna nafuu za kibiashara huzipata nchi za dunia ya tatu ikiwemo India, uchina, uturuki, Pakistan na Iran na Russia nk.
Pia categorization za Nani no third, second, and first world nation hufanywa na wa Magharibi kwa vigezo vyao vya ""gdp na ppp"" kwa mfano tofauti na China Warusi wao hujiregard wao kama nchi iliyoendelea..
Notes.. China haijawahi kupenda kuitwa developed country sababu bado hawajawa vizuri, kijeshi, kiuchumi kujilinganisha na USA na ili kumkaribia wameendelea kujiepusha na migogoro isio ya kilazima ambayo yaweza shusha uchumi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom