Najribu kufikiri kwa sauti......
Maajabu mengi hutokea Africa hususani Tanzania. Mlima mrefu kuliko yote baani Afrika uko Tanzania. Fuvu la Binadamu wa kwanza liligundulikaTanzania. Na hata kikombe cha babu kilitokea TZ.
Kwa jinsi ccm ilivyo chafu hata aje malaika kutoka mbinguni naye atabadilika na kuonekana mchafu na kwa jinsi Chadema ilivyo safi hata akija Lucifer akagombea kupitia cdm atabadilika na kuonekana msafi sana.
Fumbo mfumbie mjinga,mwerevu atakuumbua!!!!

Mbona unalialia sana! Kwani wewe umejipangaje...!? Chukukua hatua ndorobooo...! Wewe lowasa mbelembele makufuri akalinde Lumumba....Kazi ngumu ipo mbele yetu. Naona giza nene juu ya mustakabali wa hii nchi!!
Sio kweli,mbona mimi nimeshiba?Wanasiasa wote wana njaa...wanawachota akili mnakua misukule yao...wote wezi hakuna cha tawala wala pinzani
CCM ni chafu halikadhalika CDM,
wanasiasa badilikeni, tunawaona mnavofanya madudu yenu ,mnavojitahidi kupaka rangi penye uchafu,
Nyie cdm & ccm hamna lolote wote wachafu