Nyeto inanitesa nimeamua kuacha

Nyeto inanitesa nimeamua kuacha

Nyie mnaosema tangazo mnakosea jamaa amepata shida kitaalam inaitwa Delayed Ejaculation (D.E) ni kinyume cha premature ejaculation ingawa hii huwapata wanaume wachache sana.

Mkuu nakushauri kasome zaidi kuhusu D.E labda unaweza pata solution. Kuacha kujichua ni ngumu ila unashauriwa kubadili mtindo wa kujichua kama utashindwa kuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubadili mtindo vipi?.

Ongeza nyama hapa

ntazingatia mkuu
 
Kubadili mtindo vipi?.

Ongeza nyama hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapujichua kuna msuguano ambao ni tofauti na uke kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kupunguza ule msuguano jaribu kulegeza mkono wako friction isiwe kubwa sana, pia tumia vilainishi sio kupiga dry.

Kingine namna unavyokaa ukiwa unajichua inaweza ikawa tofauti na ukiwa na demu, badilisha position hiyo utumiayo kujichua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu naomba nikiachilie hapa kinaitwa 21/90 rule yaani hii ni kwaajili ya tabia yoyote ile unayotaka kuacha au kuwa nayo fanya hicho kitu kwa siku 21 bila kukoma na hapo itakuwa routine kisha fanya kwa siku 90 na hakika itakuwa ni tabia yako .
Hii unaweza kuitumia hata kwenye kuachana na addictive behaviors kama kupiga punyeto ukiweza kuachana nayo kwa siku 21 utaondoa hiyo addiction na hapo ukimaliza siku zako 90 inabaki kuwa historia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom