Kama mtu ameutaka urais then anashindwa kuwaControl watu ambao amewateua basi hakutakiwa kuomba hiyo nafasi. Yeye ndiye kiranja mkuu wa nchi, chochote kile kibaya kikifanywa na wateule wake ni sawasawa amaefanya yeye. Tusiwape defencr ya kitoto kama hiyo.Nyerere hakufel sema kuna watu ndo walimfelisha.
Magufuli hatofeli ila kuna watu ndo wanataka kumfelisha.
RAIA Wa nchi hawatokuja hata sikumoja wamkwamishe Rais. Isipokua nguvu kubwa toka nje ndo inayokwamisha.Kama mtu ameutaka urais then anashindwa kuwaControl watu ambao amewateua basi hakutakiwa kuomba hiyo nafasi. Yeye ndiye kiranja mkuu wa nchi, chochote kile kibaya kikifanywa na wateule wake ni sawasawa amaefanya yeye. Tusiwape defencr ya kitoto kama hiyo.
Heheheeee. Upuuzi wa kuamini fikra za mwenyekiti ndio umetufikisha hapa tulipo. VENEZUELA wanashikilia zidumu fikra za mwalimu, wanalowea kwenye mfumuko wa bei kama zimbabwe
Umesema ukweli mtupu nyerere alitulositisha kama nchi mi sioni kitu cha kujivunia cha ajabu alichofanya
huyu nyerere kakaa madarakani zaidi ya miaka ishirini,na bado kiuchumi kafeli.
kaenda kuadopt ma ideology ambayo kwa context yetu hayakuadoptika.
unaanzisha vijiji vya ujamaa ili ufuge watu kama mbuzi,mwisho wa siku kauwa kilimo,huku mwenzake kenyatta akipiga watu wake shule,
una preach self reliance,na bado unategemea misaada ya wazungu,what a shame.
naona na Zakayo mtoza ushuru anataka apeleke mitumba ulaya🙂
Hivi ilikuwaje Siasa za Ujamaa ziliwekwa katika nchi bila Kupata maoni ya Watanzania?. Je hayo hayakuwa mawazo ya Nyerere zaidi kuliko kuwa ni ya wananchi?
Kwa sababu kila nikisoma vitabu vya Azimio la Arusha sijaona mahali popote umma ukishirikishwa kupata input yake ya aina ya uchumi inaoutaka, kama ni uchumi wa kijamaa, kibepari au chochote kile!.
Unaweza kusema labda chaguzi kuu zilizofuata ziliipa TANU uhalali wa kufuata siasa za Ujamaa, lakini Wananchi walikuwa na chama kimoja tu na mgombea mmoja kila uchaguzi kwa hiyo hawakuwa na mbadala sahihi!, utake usitake lazima mtawala angetokea TANU!!! .yaani TANU was an alternative of itself!!
Tukiorodhesha nchi zilinonufaika na ujamaa basi orofha ni China, Urusi na nyingine chache zizofika 10. Lakini tukiorodhesha nchi zilizonufaika na mifumo ya kipebari orodha ni ndefu sana. Huoni kua ni poor choice kuchagua njia ambayo ni wachache tu walifanikiwa kwa kuipitia??
Ni nchi chache sana duniani ambazo hazikupitia mfumo wa ujamaa, ndo ulikuwa ni mfumo uliotumika kwa ajiri ya udhalishaji kabla ya capitalism, ndio maana nasema kuna economic stage hata Europe walizipitia kabla ya kuingia capitalism, sisi kwa sasa kuingia capitalism bila kuwa udhalishaji au viwanda tunabakia kama watazamaji tu, na kuwa MANAMBA katika nchi zetu.
History of socialism - Wikipedia[/QUO
Real?
Nyerere hakuwa mbinafsi na alikuwa mtu mwenye akili sana asingeweza kufanya vitu kwa sababu tuwengine wanafanya . Taja nchi ya Afrika iliyo mfumo wa kibepari na imefanikiwa sio bla bla
Kiuchumi dhambi ya ujamaa ilikuwa kubwa sana na mpaka sasa maumivu yake bado tunayaishi.Nyerere legacy failed 100%.
1. Kuchagua sera za ujamaa lilikua kosa lake kwanza.
2. Kuchukua viwanda, Shule, taasisi na kuzitaifisha lilikua kosa kubwa.
3. Kuanzishwa vijiji vya ujamaa kwa kuwakusanya watu kwa mkono wa chuma was a great mistake. Watu walipoteza mali, wengine kushindwa kucope na mazingira mapya ya kulazimishwa.
4. Kuzuia mfumo wa vyama vingi na uhuru wa kukosolewa na zikabaki zidimu fikra za mwenyekiti. Here we are.
5. Kutumia rasilimali za nchi kukomboa mataifa mengine bila mkataba wa kurefund izohela baada ya Uhuru. Check Mozambique Na South wanavotufanyia wamesahau tuliyowafanyia so bora tungekuwa kama Marekan hatumii fedha zake katika vita bila return .
6. Kushindwa kuzuia rushwa serikalini na katika mashirika. Mtu anapewa umeneja wa kiwanda au taasisi anaiba anafilisi kisha anahamishwa toka sehemu moja kwenda nyingine. Ilipaswa afikishwe mahakamani na afilisiwe. Hicho ndicho kimeigwa mpaka leo.
7. Alichangia kuendelea kwa katiba inayotuumiza hii leo. Hakuamini nguvu ya upinzani, aliamini katika chama chake pekee. Ilifika anasema rais bora atatoka CCM pekee why?
Tunapaswa kumpima mtu economically kujua alifaulu ama alifeli.
Uchumi wa Tanzania upo chini sana kwasababu ya sera zetu tulizoamua kuingia bila referendum kujua kama watu wanaafiki ama la.
Siamini kama kuna haja hiyo ya kucelebrate life ya Mwl. Katika context ya economy.
doesn't make senseNyerere legacy failed 100%.

Tatizo ni utekelezaji. Kumbukeni nyerere alimchagua sokoine kuwa waziri mkuu ambaye aliisimamia kiukweliukweli hio ideology ya ujamaa. Cha ajabu alifariki katika mazingira yenye utata mwingi. na ufuatiliaji wa kifo chake sidhani kama ulikua yakinifu. Ndio maana naungana na mtoa uzi kua nyerere alifeliNenda kawaulize huko Rwanda mnapopasifia kama mtu anaamua kuishi anapotaka.
Vijiji vya ujamaa vilikuwa na lengo la kuwakusanya watu sehemu moja ili kuwezesha serikali kuwahudumia vizuri na kwa gharama nafuu. Kingibe ni security ya Nchi. Kuna wakati mnadhani mnafahamu kila kitu kumbe ni hamna kitu.
Kama kila mtu ataamua kuishi atakapo maana yake atataka shule na hospital nk. Mna hela za kuwahudumia. Hii ilifail kwa sababu ya uvivu wa babu zenu kama si baba zenu na si Nyerere.
Mliamua kumzunguka mkisaidiwa na wazungu wenu but he was right na tunhekuwa mbali sana.
Serikali ya marekani huwa inatoa kandarasi kwa makampuni binafsi kutengeneza vifaa na mifumo ya ulinzi. Kwenye mikataba serikali inakuwa na hakimiliki ya teknolojia kwasababu za kiusalama. Pale marekani inapoamua kuiuzia nchi nyingine vifaa au mifumo ya kijeshi serikali ndio inatoa ridhaa kwa sababu ya kuwa na hakimiliki. Mara nyingi nchi moja inapoiuzia silaha nchi nyingie ni lazima silaha hizo zitakuwa zimepitwa na wakati au kuna slight modification. Mfano mzuri ni ndege f22 amabazo Australia, Israel, UK wameuziwa na marekani. Kila nchi imefanya modification kwenye avionics na mifumo mingine ya mawasiliano. Ukweli ni kwamba makampuni binafsi yanatengeneza vifaa vya kijeshi kwenye nchi za magharibi, nchi za mashariki kampuni nyingi zinamilikiwa na serikali.Hufahamu kuwa Department of Treasury ndiyo inamiliki the Fed. Pia sijakuuliza kuhusu air force one, nimekuuliza nani mmiliki wa majeshi haya. Na haya majeshi yanamiliki nini au nani ni muuzaji wa f-16s, jeshi au Boeing?
nANI MMILIKI WA AMTRAK, USPS ..
Achana na hayo, nani mmiliki wa ARAMCO?, GAZPROM, STATOIL