Mr Right,
Asikudanganye mtu kabisa Tanzania tulikuwa hatuna kitu kuingia Free market economy tena basi ndio tungewajenga Kenya vibaya sana kwa sababu viwanda vyote vya mali zote zilizokuwa zikipatikana Tanzania baada ya UHuru to 1967 na kabla wakati wa Ukoloni zilitoka Kenya. Tanzania palikuwa patupu kabisa sasa wewe nambie utaingiaje ktk market economy wakati huna viwanda wala mtaji halafu wasomi wenyewe sijui wanne Tanzania nzima...
Jamani kuweni wakweli ktk fikra zenu yaani kweli unafikiri ombeomba wa pale msikiti wa Ijumaa ukimkabidhi kiwanda kitaweza kufanikiwa kwa sababu ya free market..Wewe mwenyewe umesema free market economy inahitaji foundation which we never had na hadi leo hii hatuna kwa sababu alichofganya Nyerere ndani ya Ujamaa ni kujenga foundation yetu wenyewe kwanza tuwe tunajitegemea wenyewe toka ukulima hadi uzalishaji kwa maana kwamba Ukulima ndio ungezaa kazi viwandani.
Nyerere hakupanga exit yake 1977 tena nadhani ndio ulikuwa wakati na nguvu zake kubwa naweza sema ktk Pick... maana ndio wakati Kenya , Malawi na Uganda walianza chokochoko zao baada ya kuanguka kwa EAC na akataka kuijenga Tanzania yenye uwezo wake pekee..
Mr Right,
Asikudanganye mtu kabisa Tanzania tulikuwa hatuna kitu kuingia Free market economy tena basi ndio tungewajenga Kenya vibaya sana kwa sababu viwanda vyote vya mali zote zilizokuwa zikipatikana Tanzania baada ya UHuru to 1967 na kabla wakati wa Ukoloni zilitoka Kenya. Tanzania palikuwa patupu kabisa sasa wewe nambie utaingiaje ktk market economy wakati huna viwanda wala mtaji halafu wasomi wenyewe sijui wanne Tanzania nzima...
Jamani kuweni wakweli ktk fikra zenu yaani kweli unafikiri ombeomba wa pale msikiti wa Ijumaa ukimkabidhi kiwanda kitaweza kufanikiwa kwa sababu ya free market..Wewe mwenyewe umesema free market economy inahitaji foundation which we never had na hadi leo hii hatuna kwa sababu alichofganya Nyerere ndani ya Ujamaa ni kujenga foundation yetu wenyewe kwanza tuwe tunajitegemea wenyewe toka ukulima hadi uzalishaji kwa maana kwamba Ukulima ndio ungezaa kazi viwandani.
Nyerere hakupanga exit yake 1977 tena nadhani ndio ulikuwa wakati ana nguvu kubwa na naweza sema ktk Pick iwe ktk Afrika au dunia...ni wakati alopata mitihani mingi zaidi kwa sababu hiyo maana ndio wakati Kenya , Malawi na Uganda nao walianza chokochoko zao baada ya kuanguka kwa EAC na akataka kuijenga Tanzania yenye uwezo wake pekee..Na kuhusu Elimu Marekani hawana model nzuri ya kusifia hata kidogo. Haya maswala ya kuiga mtayaacha lini jamani...Mtu kamaliza chuo kikuu hajui hata nchi yake mwenyewe!
Mr Right,
Na kuhusu Elimu Marekani hawana model nzuri ya kusifia hata kidogo. Haya maswala ya kuiga mtayaacha lini jamani...Mtu kamaliza chuo kikuu hajui hata nchi yake mwenyewe!
USA kuna Public school, State school, Private school, na Ivy league school. System ya shule zao ambazo wengi watu kutoka nchi za nje wanatamani kuingia ni Ivy league. Unajua Marekani kuna level ya education ambayo ni tofauti kabisa na nchi zengine. Shule zao zina madaraja based na achievement zako. Kuna Ivy league ambazo ni dream ya kila mwananfunzi duniani kuingia ktk hizo shule. Kuna opportunity kubwa iwapo utafanikiwa kugraduate ktk hizo shule za Ivy.
Hizo daraja zinawafanya Wamerakani na wengineo duniani wajitume ili waweze kufanikiwa kuingia ktk hizo shule. Sipo kucompare na nchi nyengine. Lakini kuna matajiri wakubwa, viongozi wakubwa duniani, wametoka ktk hizo shule. Na admission yake inataka mwananfunzi awepo ktk stardand level fulani ya achievement. Na hiyo level za school zimetokana na mfumo wa market economy.
Kwa hiyo, toa crediti yake inapotakiwa.
Sidhani hata kama anamjua John Maynard Keynes; uelewa wake wa mambo in practice ni mdogo sana, ila anajitahidi kuelewa kwenye theories kwenye vitabu, which is good;
Chama,
Umecdhanganya mambo mengi sana. Umeanza na USA ukaenda mpaka Afrika, baadaye ukaenda mpaka Europe.
Anyway, issue ya market economy kuwa siyo perfect, hiyo kila mtu anajua. Lakini huwezi kuchukua protectionism zinazofanyika sasa hivi ktk kila nchi kublame market economy. Marekani ni nchi iliyofanikiwa sana duniani kwa muda mfupi kuliko nchi yoyote duniani. Marekani ina less than 235 years lakini maendeleo iliyopata ni makubwa sana. Na hiyo credit yote inapewa market economy.
Suala la protectionism. Sasa hivi nchi nyingi duniani zimeangia ktk mfumo huu bila ya kujua core principles za market economy na nchi nyengine zinaignore kwa makusudi, kama vile China. Ndiyo maana unakuta kuna mashindano au mabishano ktk import and export. Marekani walioengeza some tarrif ktk goods kutoka China, na China wakajibu kwa kuongeza import tarrif ktk goods zinazotoka USA. Hii issue ilitokea kwa sababu kuna some products ambazo zinapewa subsidize na government. Kwa hiyo USA waka argue kwamba hiyo ndiyo reason ya kuongeza hizo tarrif ktk Chinese goods. Kumbuka free market inataka market ndiyo idetermined who gets what.
To be honest, sasa hivi nchi nyingi ambazo zilikuwa ktk Ujamaa zimeingia ktk market economy, lakini bado serikali zao ndizo zinatumia hela nyingi ktk kampuni zao. Chukulia Emirates, serikali yao imeorder ndege Boeing nyingi sana, kupita hata mashirika makubwa ya ndege kama AA. Kwa hiyo issue hiyo, ya kuongeza tarrif or so called protectionism itaendendelea kuwepo as long serikali za nchi za former Ujamaa zitaendelea kucontrol hizo kampuni kubwa za biashara.
Unauliza kwa nini Marekani inapigania kuwa na middle class na siyo milionaire? Hiyo issue lazima iwepo ktk market economy. Lazima iwepo different class of citizen in order for market economy to survive. Ujamaa unapozungumzia fairness unamaanisha distribution of wealth. Kila raia awe ktk same level!! Hiyo ndiyo philosophy ya Ujamaa aliyokuwa anaipigania Nyerere. Anataka Ujamaa ili tule chakula kimoja, kuvaa nguo design moja, elimu moja.
Chukulia mfano, elimu iliyopo Marekani, kuna public school, state school, private school, na Ivy league school. Angalia ktk forum kama vile College Confidential demand ya watu wanaotaka kwenda ktk hizo Ivy league. Sasa kama ingekuwa same level usingeona bidiii ya wanafunzi ya kufanya ziada ktk masomo, community services, leadership skills ktk kujaribu kutaka kuingia ktk hizo shule za Ivy.
Ndiyo maana, nimesema Ujamaa umetufanya tuwe wategemezi. Kama tungekuwa na market economy tungekuwa mbali; kwa sababu kila mtu angetaka kufanya vizuri ili areach level fulani ya maisha. By the way, watu wengi wanakuwa millionaire in USA , ni bidii yako tu.
What? ... mkuu wangu nimeshakwambia asikudanganye mtu hata mmoja. Historia ya diunia nzima imeanza na kulazimishwa watu kuunda Taifa walitakalo watawala. Ulaya wakati wa vita ndio walijenga nchi zao na walilazimishwa kuhama kukaa na hata kuzalisha ili wapate kuendelea ndani. Hawa hawa wanaozungumza free market economy ndio walikuja tafuta watumwa kwenda fanya kazi za kipunda kuzijenga nchi zao toka Pharaoh, Julius kaizal, Alexander the Great, Napoleon, Kinga, Queen you name them all. hawa walianza na serikali za Kidikteta kuliko hata sisi tena kwa muda mrefu zaidi...They all depended on their government, banks na financial institutions within their country kama Nyerere alivyofanya kwa wakulima wetu walipewa mikopo na maeneo na ndio maana uzalishaji nchini ulizidi mara mbili kufikia miaka 1975..Check the records.Kuwa na market economy siyo lazima uwe na viwanda. Tungeanza kwa kuweka misingi kwa wananchi wenyewe kifikra, kielimu, nk. Hata kama Kenya kulikuwa na viwanda vingi- sisi tungekuwa na system nzuri ambayo indivudual wenyewe ndiyo wangekuwa na maamuzi yao wenyewe na siyo kupangiwa na Serikali. Moja ya tatizo kubwa la Ujamaa ni kuwafanya WTZ kuwa wategemezi wa Serikali. Ujamaa umefanya nchi yetu mpaka leo kuwa na hope only ya kufanya kazi serikalini ili uwe na maisha mazuri.
Sasa hivi vijana wengi TZ, wanamaliza shule wanategemea kuajiriwa na serikali. Hii ni philosophy ya Ujamaa ambayo bado mpaka leo inatumaliza. Nchi changa duniani zimeweza kuendelea very fast kwa kutegemea zadi Human capital halafu baadae ndiyo ikaja mambo hayo ya viwanada. Na hiyo philosophy huwezi kuwa nayo unless umelelewa na kufundisha ktk mazingira ya market economy. Nyerere alikuwa na uwezo wa kuwafanya WTZ, kuwa na independent mind set, lakini hakutaka. Alitaka "fikra za Mwenyekiti zidumu milele" Huo ndiyo mzimu unaotukumba sasa hivi.
Hiyo point ya mwisho, Nyerere 1977 baadaye, 78,79, vita vya Uganda. Nchi ilikuwa ktk hali mbaya. Kila mtu anajua matokeo ya vita. Hali ilianza ngumu, ndiyo maana Nyerere alianza kupanga exit yake.
Here we go na Economic 101,
Najua utawaingiza wote ambao unaona wana philosophy za government intervene. Akiwemo huyo John Keynes. Unajaribu kuleta ubishi wa kizamani. Baadaye utasema Karl Marx.
Nimeshapita huko siku nyingi.
Hivi Mr Right, do you know how poor of a system it is marekani - education wise compared to other countries zilizoendelea? Jana ulikuwa unajadili na mtu na kuisema vibaya sana nchi kama finland; ebu angalia nchi za Scandinavia versus marekani in terms of ubora wa elimu, utajifunza mengi; usijidanganye kwamba US ndio the right model, hata wao wanajua hilo halina ukweli wowote;
Ndiyo maana Nyerere alichaguliwa ili awaongoze hao watu. Lakini alishindwa. Tatizo letu sisi WTZ ni kwamba hatuna viongozi wazuri wa kuongoza hao Watu. Kama Nyerere angekuwa kiongozi mzuri; basi angeongoza WTZ vizuri na tungekuwa mbali sana. Lakini Mzee Nyerere alishindwa. Matokeo yake, ule mzimu wa viongozi wabovu bado unaendelea kutukumba kila siku.
Nyerere alikuwa kiongozi Mzungumzaji mzuri; lakini utendaji wake ulikuwa ZERO.
Sasa Mr right
Ebu kwa mujibu wa uchambuzi wako l ist ya marais tulioongozwa nao ( Nyerere, mwinyi, Mkapa, Kikwete) wapange kulingana na ubovu wao. Yaani yule mbovu kabisa awe wa kwanza na yule mwenye nafuu awe wa mwisho
JokaKuu, nikimnukuu mwanasiasa moja wa Marekani ni kuwa kuliko kujadiliana na watu wengine, ni heri ujadiliane na meza ya kulia chakula, hivyo ndivyo wasomi wetu wengi walivyo.
.
Sipo ktk kucompare between countries. Nimetumia hiyo idea ya kuonyesha ni jinsi gani market economy inaweza kufanya hadi elimu ikawa very competitive. Also, huwezi kuidowngrade US education wakati kuna best leaders, businessman, wametoka ktk hiyo system ya education. Nimesema ktk USA kuna Ivy school ambazo zinaseperate kati ya average student na excellence. Majority ya students ktk hizo Ivy school siyo average student. Is that a good thing? Yeah.
Ndiyo maana ni dream ya wanafunzi wengi duniani kuingia ktk hizo shule za Ivy.
Waberoya,
..kwanini baba wa taifa awe ni Shamte na siyo Sultan Jamshid Bin Abdullah?
..Zanzibar was a Constitutional Monarch kama anavyoeleza bwana Shamte.
..hata walipopindua walisema wamempindua Sultani siyo huyo kibaraka Shamte.
Sipo ktk kucompare between countries. Nimetumia hiyo idea ya kuonyesha ni jinsi gani market economy inaweza kufanya hadi elimu ikawa very competitive. Also, huwezi kuidowngrade US education wakati kuna best leaders, businessman, wametoka ktk hiyo system ya education. Nimesema ktk USA kuna Ivy school ambazo zinaseperate kati ya average student na excellence. Majority ya students ktk hizo Ivy school siyo average student. Is that a good thing? Yeah.
Ndiyo maana ni dream ya wanafunzi wengi duniani kuingia ktk hizo shule za Ivy.
Unashindwa kutofautisha oportunity tuliyokuwa nayo sisi TZ ni tofauti sana na Kenya ua Uganda. Like I said before, TZ ipo ktk nafasi nzuri kuliko hizo nchi. TZ tuna location nzuri kuliko Uganda. TZ tuna nafasi nzuri ya kufanya biashara kuliko Kenya. Kwa hiyo opportunity yetu ni kubwa sana, huwezi hata kulinganisha na hizo nchi. Kwa hiyo kucompare hizo nchi na TZ, ni sawa na kucompare mbuzi na ngo'mbe.
Sasa kama tungekuwa na market economy, sisi tungekuwa mbali sana kwa sababu hizo sababu nilizokupa na zenginezo ambazo zitachukua page kuziandika. Uganda hawakuwa nafasi tuliyokuwa nayo sisi. Hawana bandari, ardhi yao ndogo. Kenya wamezungukwa na chi ambazo hazina stable government. Please, dont compare Mbuzi na Ngo'mbe.
Pili- Kufa kwa Ujamaa siyo kwamba ndiyo kila kitu kitabadilika. Unashindwa kuelewa hiyo regime ya Nyerere mpaka leo imebakia madarakani. Pamoja na mabadiliko machache yaliyofanywa ktk kipindi cha Mwinyi, bado msingi kamili wa market economy umepotezwa. Viongozi wengi waliopo madarakani ni matunda ya Mzee Nyerere. Bado society yetu inamawazo ya utegemezi (Ujamaa). Market economy inataka foundation, na hiyo itachukua muda.
Hiyo senctensi ya mwisho naona umechanganya mambo. Unasema 1977 Kenya ilikuwa ina nguvu ikaua EAC. Nchi (TZ) ilikuwa haina kitu chochote. Kwa hiyo unakubali kwamba Nyerere alichemsha alifeli.
Halafu Nyerere akaitoa TZ?? Unashindwa kukubali kwamba kuanzia 1977 na kuendelea Nyerere alianza kupanga exist yake ya kuachia madaraka. Let's be honest.
This is an excellent piece; i hope Mr. Right atakitumia vizuri kuelewa the benefits and limitations of free market in our context, a system which he favours so much bila chujio;Nadhani alichokuwa anataka kukuambia Mkandara ni hicho hapo chini kutoka kwenye kipande cha speech ya mwal Nyerere alipokuwa anazungumzia matatizo ya East Africa Co-operation 1964. Jamani mzee wetu alikutana na visiki vingi sana kwa hiyo jaribuni kufanya research kidogo kabla ya kutoa hukumu.
*********
Let me illustrate the point by explaining Tanzania's problems(because they are problems which I understand better) in certain matter relating to Common Market. The pattern of European settlement in East Africa , together with other fortuitous circumstances , meant that Nairobi developed as an industrial and commercial centre for the whole area. Firms were established there and expanded their operations to sell goods throughout East Africa. Tanzania obtained virtually no industries of her own, but built up a sizeable export capacity in certain primary commodities . At the same time some of her crops – like wheat - were prohibited from entering Kenya. The prohibition was laid down by the same colonial authority which established and maintained the common market in industrial goods, but I am told it still continues.
The result has been that in 1961 Kenya exported goods worth £8.9 million to Tanganyika , and imported goods only to the value of £1.8 million. In 1964 Tanzania's imports from Kenya had risen to £13.3 million , and her exports to Kenya were worth £4.1 million.
This meant that the deficit on Tanzania's trade with Kenya had increased from £7.1 million to £9.2 million.
In other words , the colonial economic pattern meant that Tanganyika was a free market for Kenya , and the surplus she earned on overseas trade with other countries was not promoting her own development . Further , any money which the independent Government now borrows from infrastructural development leaks away. Instead of the secondary effects of investment being felt in the country which has the obligation to repay any loan , the increase in the effective market is felt mainly by Tanzania's partners in the Common Market. Because of the common tariff arrangements , and the free inter – East African trade , Tanzania cannot buy in the cheapest market abroad, and equally she cannot protect her own infant industries against competition from long established and large scale firms in Kenya , and - to a lesser extent – in Uganda.
*********