Nyerere na Rushwa

bhikola

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,130
1,660
Habari wana jamii!!
Mimi sijambo sana.

Back to topic
Nakumbuka sana wakati huu maneno ya muasisi wa taifa hili Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusiana na rushwa, embu jikumbushe kidogo!

- Serikali corrupt kote duniani hazikusanyi kodi, hii ndiyo sifa kubwa ya serikali corrupt, haiwezi kukusanya kodi
- Tunataka raisi ambaye anachukia rushwa kwa dhati ya moyo wake, na aseme hadharani kuwa anachukia rushwa, na ndugu zake na rafiki zake wamtambue hivyo!
- Tunataka mtu ambaye akisema anachukia rushwa, ukimuangalia usoni uone kweli anachukia rushwa. sasa mwingine akisema anachukia rushwa, ukimuangalia unasema "huyuuu!"
- ... Lakini nilikuwa nachukia rushwa zaidi kuliko kumtandika mtu viboko!!
- Rushwa ni adui wa haki, hauwezi kununua haki yako mwenyewe ..

ongezea na nukuu zake nyingine

Namuona Mwl ndani ya Mtumbua Majipu (MM - PhD)

Weekend njema:spy:
 
Sipati picha kama nchi ingechuliwa na yule jamaa wa.maigizo mpanda daladala
 
huyo ww unayamsifia ni mtumbua majipu.. mbona alipokuwa wizara ya ujenzi.. upotevu mkubwa wa mabilion ya walipa kodi yamepotea na hakuna maelezo?
 
JPM ni Thomas Sankara wa tanzania, mungu amjalie maisha marefu wanyonge wanufaike na kodi zao.
 
Habari wana jamii!!
Mimi sijambo sana.

Back to topic
Nakumbuka sana wakati huu maneno ya muasisi wa taifa hili Mwl. Julius Kambarage Nyerere kuhusiana na rushwa, embu jikumbushe kidogo!

- Serikali corrupt kote duniani hazikusanyi kodi, hii ndiyo sifa kubwa ya serikali corrupt, haiwezi kukusanya kodi
- Tunataka raisi ambaye anachukia rushwa kwa dhati ya moyo wake, na aseme hadharani kuwa anachukia rushwa, na ndugu zake na rafiki zake wamtambue hivyo!
- Tunataka mtu ambaye akisema anachukia rushwa, ukimuangalia usoni uone kweli anachukia rushwa. sasa mwingine akisema anachukia rushwa, ukimuangalia unasema "huyuuu!"
- ... Lakini nilikuwa nachukia rushwa zaidi kuliko kumtandika mtu viboko!!
- Rushwa ni adui wa haki, hauwezi kununua haki yako mwenyewe ..

ongezea na nukuu zake nyingine

Namuona Mwl ndani ya Mtumbua Majipu (MM - PhD)

Weekend njema:spy:

Nakumbuka pale jangwani YULE MENAJA KAMPENI WA CDM alitokwa na povu kwa kuweke ile clip ambayo iko nusu et wanamnukuu nyerere " watanzania WANATAKA MABADILIKO wasipo yapata ndani ya ccm watayatafute nje ya ccm "kumbe jamaa alimaanisha Ni MABADILIKO ya kupigana na rushwa ,john mrema alikomaa na hiyo kauli ili kuwahadaa mambumbu
 
Sipati picha kama nchi ingechuliwa na yule jamaa wa.maigizo mpanda daladala

Ingekuwa shida aisee, sasa hivi angekuwa anaangalia jinsi ya kurudisha fedha zake kwanza. Na ndiyo maana tukimuangalia usoni tunapata shaka kuwa huyu!!!
 
Ni ukweli mtupu wala halina ubishi kuwa rushwa ni adui wa haki ila cha msingi tu hapa tuzidi kumuombea raisi wetu mpendwa magufuli mungu ampe ujasiri wa kuichukia rushwa kwa nguvu zake zote ndipo taifa la tanzania litasonga mbele zaidi.
 
Nakumbuka pale jangwani YULE MENAJA KAMPENI WA CDM alitokwa na povu kwa kuweke ile clip ambayo iko nusu et wanamnukuu nyerere " watanzania WANATAKA MABADILIKO wasipo yapata ndani ya ccm watayatafute nje ya ccm "kumbe jamaa alimaanisha Ni MABADILIKO ya kupigana na rushwa ,john mrema alikomaa na hiyo kauli ili kuwahadaa mambumbu

Pamoja sana mkuu, hii nayo ni nukuu tashtiti
watu walitokwa sana na mapovu kuhusu neno mabadiliko hasa wakilinukuu toka kwa mwl
Naona, tunaweza pata mabadiliko ya kweli sasa:crazy:
 
huyo ww unayamsifia ni mtumbua majipu.. mbona alipokuwa wizara ya ujenzi.. upotevu mkubwa wa mabilion ya walipa kodi yamepotea na hakuna maelezo?

Inawezekana kabisa kuwa kuna upotevu mkubwa ulikuwepo, lakini kumbuka alikuwa ni waziri, juu yake yuko waziri mkuu, na juu yake kabisa yuko raisi.
Pia kiutendaji, kuna Katibu mkuu, sasa angalia - waziri, naibu waziri, na katibu mkuu wote ni wateule wa raisi. Kiutawala, mamlaka inayoajiri ndiyo inayoweza kufukuza pia
Read between the lines, you will understand what I want to say
Kwasasa MM ndiye raisi, yatatumbuka tu, hakuna namna:mod:
 
Aende na kule iliokuwa wizara yke akatumbue.. kunajipu kuuubwa la bilion 956.7 na yy alitolee maelezo hzo hela zilienda wapi na zilifanya nn
 
Back
Top Bottom