Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 604
Ifahamu historia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyeiongoza Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, kupitia chama cha Tanganyika African National Union (TANU) alipigania uhuru kutoka kwa Uingereza na baadae kuunganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ikazaliwa Tanzania … Nyerere alifanikiwa kuleta umoja kati ya Watanzania kupitia mfumo wa “UJAMAA” na Lugha ya Taifa ya Kiswahili na vile vile alikua kinara katika kupigania muungano wa nchi za Afrika!