Ni upumbavu kumtupia lawama mtu aliyefariki zaidi miaka 20 iliyopita, miaka 25 tumeshindwa kubadili katiba tunabebesha lawama mfu?Huyo ndio katuachia katiba ya hovyo na chama cha kifisadi
Kwamba mtu alikufa 26yrs ago bado lawama ni kwake?Huyo ndio katuachia katiba ya hovyo na chama cha kifisadi
Kuelekea safari ya Oct 29 Kama Mwalimu JK angekuwa hai angefanya nini ndani ya CCM?
View attachment 3489697
Kuibadilisha sio rahisi. Kuna watu wenye mamlaka makubwa wananufaika nayo. Haya mambo ya kuuana na kutekena ni harakati za watu kulinda masilahi yao. Kwahiyo nyerere kama mhasisi hawezi kukwepa lawama. Uzuri ni kwamba aliziona loopholes za kikatiba hata yeye mwenyewe akasema katiba imempa madaraka makubwa ya kuweza kuyatumia kama MunguNi upumbavu kumtupia lawama mtu aliyefariki zaidi miaka 20 iliyopita, miaka 25 tumeshindwa kubadili katiba tunabebesha lawama mfu?
Pumbqvu kabisa.
Mfumo huu uliowekwa na Nyerere haya ni matunda ya mti alioupanda yeye.Kuibadilisha sio rahisi. Kuna watu wenye mamlaka makubwa wananufaika nayo. Haya mambo ya kuuana na kutekena ni harakati za watu kulinda masilahi yao. Kwahiyo nyerere kama mhasisi hawezi kukwepa lawama. Uzuri ni kwamba aliziona loopholes za kikatiba hata yeye mwenyewe akasema katiba imempa madaraka makubwa ya kuweza kuyatumia kama Mungu
Yeye ndiye aliyekuja Zanzibar mwaka 1995 kulazimisha mgombea wa CCM afanywe mshindi baada ya kushindwa na CUF wakati ule. Nyerere ni Laana mtu yule.Asingeweza kufanya chochote angekua ni mzee mstaafu tu asiekua na nguvu yoyote kama walivyo hawa wakina warioba
Kwanza angesha hama chama siku mingi sanaKuelekea safari ya Oct 29 Kama Mwalimu JK angekuwa hai angefanya nini ndani ya CCM?
View attachment 3489697
KabisaNyerere angekuwa hai leo angekuwa na miaka 103, kwaiyo asingefanya chochote zaidi yakutolewa ndani na kuanikwa juani
Yeye alipoona loopholes na akasema kuwa Kuna loopholes ilitakiwa wahusika hasa wabunge(wawakilishi wa wananchi) wachukue hivyo tumtoe kwenye lawamaKuibadilisha sio rahisi. Kuna watu wenye mamlaka makubwa wananufaika nayo. Haya mambo ya kuuana na kutekena ni harakati za watu kulinda masilahi yao. Kwahiyo nyerere kama mhasisi hawezi kukwepa lawama. Uzuri ni kwamba aliziona loopholes za kikatiba hata yeye mwenyewe akasema katiba imempa madaraka makubwa ya kuweza kuyatumia kama Mungu
Yeye alipoona loopholes na akasema kuwa Kuna loopholes ilitakiwa wahusika hasa wabunge(wawakilishi wa wananchi) wachukue hivyo tumtoe kwenye lawama
Angeweza kufanya kitu, infact hizo loopholes ziliwekwa kimkakati. Mkakati ambao na yeye pia alishirikiYeye alipoona loopholes na akasema kuwa Kuna loopholes ilitakiwa wahusika hasa wabunge(wawakilishi wa wananchi) wachukue hivyo tumtoe kwenye lawama
Wanataka nyerere aishi mileleKabisa