Nyerere angekuwa hai, angetoa tamko gani kwa wanasiasa kama kina Zitto kuhusiana na kuingia Ikulu?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
nyerere_pd.jpg
 
Hebu jiulize swali hilo hilo na uondoe jina Zitto uweke Slaa. Halafu utupe majibu.
 
Asingekuwa na jipya, kwanza tungemuona kama Kingunge Ngombarimwiru tu !!!!
 
binafsi naona kama anafaa kuwa raisi, japo simfahamu zaidi ya hicho wanacho kiita kufichua ufisadi.
 
Kwa kweli zitto anawawasha, hamuishi kumlinganisha na kila kiumbe, kweli kijana ni threat kwenu mwawashwaaa sana

Unafikiri watu hapa wanawashwa, mimi nafikiri ni njia mojawapo ya kupata maarifa, na hii njia hutumiwa sana vitani.
 
Acha shirki wewe kufukua mizoga na misukule, Kabla ya yote kama angefufuka tungemtaka atuombe radhi kwa kutuletea mwinyi na mkapa kisha afililie mbali, mtu gani hata Kuingiza Friji ilikuwa uhujumu uchumi wakati hata kiwanda cha kutengeneza Stabilizer hatukuwa nacho, Mtu anasoma PCM anapangiwa kibabe kwenda kusoma siasa chuoni!
 
alikuwa nao wengi sana kutoka kundi linalodai kuwa lilimkaribisha mzizima.Wengine walipiga kwa fikra,wengine waliwachapa viboko hadharani, wengi aliwapa ubwabwa bora ukombozi ufikiwe.hao watu hawajaisha wanaolilia ubwabwa vitani wakati wenzio nao wana njaa na hawana pa kuupata kama wao wenyewe.Pamoja na kupewa ubwabwa wakati wengine wakipambana bado leo ndio wanaodai walipigana sana kuuleta uhuru zaidi ya kuchukua nafsi yao ya kuwa kikwazo.

Wengine walilia sana wakisema kuwa bora mkoloni kuliko kujitegemea, wapemba nao wanamlilia sultani, wapo wengi wanajipa nafsi ya utumwa na kuanza jiliza kwa vile wanaogopa uhuru,wanaogopa kuwajibika.Zitto naye anashindwa wajibika,anaogopa jukumu la kuwa nguzo ya waislam ili waweze shiriki katika mapamabno mapya ya kuiondoa CCM iliyokaa miaka 50 huku waislam wakiwa duni.Bado wanapigana vita wasiyojua wanataka achieve nini?Wabaki na CCM kwenye mfumo waujuao wao huku wakibaki makundi makundi au waingie CDM waanza maisha mapya nchini.
 
Back
Top Bottom