Kuanzi 1 March tutaweza kuhama mtandao bila ya kubadili namba, Mobile number Portability (MNP)

Gasy wa Ukweli

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
387
187
Huduma ya Mobile Number Portability itaanza rasmi Tar 01 March 2017.Huduma hii itakuwezehsa kuhamia mtandao wowote ule bila kubadilisha namba yako:

NB:Huu ndo muda wa makampuni ya simu kuboresha huduma zao. Watu wengi walishindwa kuhama mtandao kwa kuhofia namba zao.
tcra-jpg.461648
 
elezea kidogo hii ikoje mkuu! inaathari gani kwa mtoa huduma na mlaji. kama sijaelewa kwa makengeza, yale makampuni yanayotoza gaharama kadri wanavyojisikia ndio muda wa kilio chao
Hii ni kwa mtumiaji anayetumia namba ya Mtandao labda Voda anaweza kuhama na namba yake mtandao mwingine labda Halotel na akabaki na namba yake na akaanza kutumia vocha za halotel.

Hii ina manufaa sana kwa mlaji na kwa hizi kampuni za simu mpya
 
MNP-Mobile Number Portability
Huu mfumo unaratibiwa na TCRA na kila kampuni linahitajika kufata mfumo huu.
MNP, inakupa uwezo wakutumia namba ya Voda lakini unakuwa serviced na Tigo.. Yaani namba yako ya voda na ni mteja wa huko unahisi umewachoka umaenda Tigo unabadilishiwa huduma kwa kujaza form maalum ambayo Voda watajiridhisha kuwa hidaiwi chochote then Tigo watakuunga na huduma zao lakini kwa namba yako ya Voda
Unatakiwa uwe mteja wa mtandao unaotaka kuhama si chini ya miez mitatu, Pia unatakiwa kuhama kule ulikohamia uwe umekaa miez mitatu.
FAIDA:
Makampuni yataboresha huduma ila kukwepa kulose wateja kwa kampuni zenye huduma mbovu

WENGINE WATAKUKA KUJAZIA.
 
Bado sijaelewa vzr namba yangu ni 0755 123456 halafu Nina namba ya Togo 0677123456 Ina maana nikitaka kuhamia TIGO natumia ile ya mbele
 
Ndiyo hivyo, wao wanabadirisha kwenye system ila wewe unaendelea kuwa voda, ila unatumia bidhaa za tgo.
 
MNP-Mobile Number Portability
Huu mfumo unaratibiwa na TCRA na kila kampuni linahitajika kufata mfumo huu.
MNP, inakupa uwezo wakutumia namba ya Voda lakini unakuwa serviced na Tigo.. Yaani namba yako ya voda na ni mteja wa huko unahisi umewachoka umaenda Tigo unabadilishiwa huduma kwa kujaza form maalum ambayo Voda watajiridhisha kuwa hidaiwi chochote then Tigo watakuunga na huduma zao lakini kwa namba yako ya Voda
Unatakiwa uwe mteja wa mtandao unaotaka kuhama si chini ya miez mitatu, Pia unatakiwa kuhama kule ulikohamia uwe umekaa miez mitatu.
FAIDA:
Makampuni yataboresha huduma ila kukwepa kulose wateja kwa kampuni zenye huduma mbovu

WENGINE WATAKUKA KUJAZIA.
Naomba ufafanue kidogo hapo, maana kwa jinsi nilivyoelewa ni kama IWAPO UNATAKA KUHAMA NDIO UNAENDA NA ILE ILE NAMBA YAKO,SASA SWALI LANGU NI IWAPO UTAKI KUHAMA ILA UNATAKA KUWA NA MITANDAO ZAIDI YA MMOJA LABDA MITANDAO 2,3,4,5, AU 6, JE HII NAYO IKOJE ???
 
Kwenye ving'amuzi hamjatutendea haki,sasa mnahamia kwenye mitandao ya simu,kuchamba kwingi huko tcra
 
hii imeznishwa na kulazimishwa na TCRA mahususi kwa ajili ya kumpa favor TTCL.

kwasababu TTCL ni ya serikali, hailipi kodi kama maakpuni binafsi hivyo huduma zao zitakua nafuu sana itawalazimu watumiaji wa mitandao mingine ku-port in TTCL.
 
Mh

Mh! Fitina kama kawaida!
 
Bado sijaelewa vzr namba yangu ni 0755 123456 halafu Nina namba ya Togo 0677123456 Ina maana nikitaka kuhamia TIGO natumia ile ya mbele
Utahamia tigo na hiyo hiyo 0755123456,na utatumia vocha za tigo.
1.sharti utembelee ofisi za unako hamia kwa maelezo kidogo na kubadili chip
 
Naomba ufafanue kidogo hapo, maana kwa jinsi nilivyoelewa ni kama IWAPO UNATAKA KUHAMA NDIO UNAENDA NA ILE ILE NAMBA YAKO,SASA SWALI LANGU NI IWAPO UTAKI KUHAMA ILA UNATAKA KUWA NA MITANDAO ZAIDI YA MMOJA LABDA MITANDAO 2,3,4,5, AU 6, JE HII NAYO IKOJE ???

Utabaki kama Ulivokuwa Mwanzo, It means unaridhishwa na Huduma za hio mitandao yote
 
Kuna huduma ya Mobile number Portability (MNP) TCRA wametangaza kuanzia Tarehe 1/3/2017 itaanza kutumika

Swali langu hiki ni nini na Faida yake ni nini?
2017-01-22+13.39.05.png
 
Faida yake utaweza kutumia mtandao wowote na huduma zake zote bila kubadili namba yako ya simu ya mtandao ulioko sasa hivi.

Yani: wewe mwenye line ya voda utaweza kutumia line hiyo-hiyo ya voda kujiunga na vifurushi vya Tigo na service zote like mteja wa Tigo.

Hasara:
Makampuni binafsi yatapata hasara kwasababu TTCL kampuni ya serikali inayopata favor za serikali itakua na huduma za bei rahisi kupitiliza na kupelekea wateja wengi wa makampuni binafsi kuhama na line zao na kutumia service za TTCL.
 
Tunaposema hasara tunamaanisha hasara kwa mlaji ,kwa mujibu wa hoja yako hakuna hasara kwa mlaji hapo labda hao ttcl wawe wana huduma mbovu!
 
Faida yake utaweza kutumia mtandao wowote na huduma zake zote bila kubadili namba yako ya simu ya mtandao ulioko sasa hivi.

Yani: wewe mwenye line ya voda utaweza kutumia line hiyo-hiyo ya voda kujiunga na vifurushi vya Tigo na service zote like mteja wa Tigo.

Hasara:
Makampuni binafsi yatapata hasara kwasababu TTCL kampuni ya serikali inayopata favor za serikali itakua na huduma za bei rahisi kupitiliza na kupelekea wateja wengi wa makampuni binafsi kuhama na line zao na kutumia service za TTCL.
Kitambulisho tu sina.ila ningeamia ttcl
 
Back
Top Bottom