NYC

Tunaweza tukaanza kufikia huko hata leo ikiwa CCM yote ikifa hata muda huu. Was%$#*(#i wakubwa hawa wametuhariba nchi nzuri yenye kila kitu tuliyopewa na Muumba.
 
Mawazo ya kinyumbu nyumbu hovyo kabisa, ina maana Africa yote inaongozwa na CCM? Huko Syria kunaongozwa na chadema?
 
Ila kuna nchi nyingi tu afrika zina maendeleo makubwa kuliko sisi na zimetuacha mbali sana na hawajakumbatia vyama tawala vya aina moja
 
Tunaweza tukaanza kufikia huko hata leo ikiwa CCM yote ikifa hata muda huu. Was%$#*(#i wakubwa hawa wametuhariba nchi nzuri yenye kila kitu tuliyopewa na Muumba.
Wanarithishana tu madaraka ila maendeleo zero
 
Ila kuna nchi nyingi tu afrika zina maendeleo makubwa kuliko sisi na zimetuacha mbali sana na hawajakumbatia vyama tawala vya aina moja
Kuna nchi nyingi tumeziacha mbali hapa Africa, nao unailaumu CCM?
 
Tukitumia formula waliotumia Dubai, tunaweza kufika huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…