Nyati nane wagongwa Mikumi

Nyati nane wagongwa Mikumi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
attachment.php
 

Attachments

  • 12347900_1023271384403522_793842940953577395_n.jpg
    12347900_1023271384403522_793842940953577395_n.jpg
    41 KB · Views: 868
Kugonga hizo ngoma mpaka ziwe chali namna hiyo.........naomba mwenye picha ya gari lililogonga aniwekee pls.........
 
Kugonga hizo ngoma mpaka ziwe chali namna hiyo.........naomba mwenye picha ya gari lililogonga aniwekee pls.........
lol wewe kweli ni GT
 
Ati walitokeza ghafla barabarani, zamani karibu mapori mengi Tz yalikuwa na wanyama na walikuwa wanakuja barabarani na kusimama hasa twiga na hao nyati inabidi muwasubiri hadi wavuke ndio mpite, ati yeye alikuwa anawakwepa kweli inaingia akilini? Imenisikitisha sana hana kasoro na hao wanaoua tembo wetu
 
Dereva aliyewagonga lazima alikua kwenye mwendo kasi..... Mpaka hapo ana kosa la kwanza la mwendokasi hifadhini
 
Back
Top Bottom