...............Mkuu uko sahihi...ni kweli taasisi nyingi saana za serekali zimeoza........lakini unakosea pale unaposifia kufukuzwa kwa mtu bila kuingia kwenye undani wa kitu.............yes kazi ta TTB ni kutangaza utalii wa Tanzania Ndani na nje ya nchi.........TATIZO kubwa la TTB ni mfumo p[amoja na ufinyu wa budget......Tambua kuna shughuli nyingi saana za TTb zinaendeshwa kwa hisani ya Ngorongoro NA TANAPA.............TTB wanaupungufu mkubwa wa wafanyakazi.......budget ya kila mwaka ni ndogo......alichokifanya NZUKI alipendekeza TTB iwe taasisi HURU kama TCRA na EWURA...walifanya utafiti...na wakakuta hata SOUTH AFRICA iko hivyo......na walipendekeza baadhi ya UNIT ambazo ziko chini ya Idara ya UTALII zihamie kwenye hiyo taasisi mpya........na walipendekeza na wafanya kazi wangehamishwa........tambua kwa kufanya hivyo TTB ingekuwa na vyanzo vyake huru vya mapato kama ilivyo TCRA na EWURA.......wazee wa wizara wakaona......wananyimwa ulaji uiondoe TALA wizarani...........ndio ugomvi ukaanzia hapo............uozo wa pesa ulitokea kipindi cha MWENGUO(RIP) na sio cha Nzuki na pesa nyingi waliochangia walikuwa ni NGORONGORO na TANAPA...........Kenya wanatengewa fungu la kutosha wana KENYA AIRWAYS...hii inasaidia package tour zao kuwa affordable kuliko za kwetu......watalii from generating countries kama China hawawezi kuja TZ moja kwa moja mpaka wapiti nchi ya pili......hili na lanyewe ni factor kubwa......kabla ya timua timua...NYALANDU angetakiwa ajipange kimfumo mkwanza.....Hili ndio tatizo la watanzania wengi na wavivu wa kufikiri na kuchanganua mambo. Katika mamlaka na taasisi nyingi nchini watendaji na hasa viongozi wameoza, lakini inapotokea waziri anapoamua kusafisha ili kuweka mambo sawa watu wanaanza kumshambulia na wengine kuweka hisia za uonevu na ubabe. Nani hafahamu Dk. Mwakyembe alivyoshambulia kwa kumuondoa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Efraim Mgawe ambaye madudu yake yalikuwa yanatia kichefuchefu mbele ya dunia. Inaingilia akilini kwa TPA miaka yote wateja kulipia fedha dirishani? meli kukaa zaidi ya mwezi bila kupakua mizigo, wizi wa vifaa vya magari kama vioo, redio, power window na ilifika mahali hadi tairi zinazovuliwa bila hofu. Lakini yote hayo baada ya Mgawe kuondoka imekuwa historia sasa unaweza kuagiza gari ukaweka hata dola 100 kwa kuitegesha na ukaikuta ndani.
NOTE: Tuwe wakweli pale TTB kuna uvundo ambao kila mwenye akili anapaswa kuuondoa na si Nyalandu pekee. TTB inafanya kazi gani ya kutangaza utalii, tunasahau kashfa ya matangazo ya utalii nje ambayo mabilioni ya shilingi yalipigwa. Why Kenya na vinchi vingine vidogo vinatushinda kwa kuwa na idadi kubwa ya watalii kuliko Tanzania? Kazi yao kubwa ni kubebana na mahawara zao kwenda kwenye maonyesho ya kimataifa ulaya wakiwa wamebeba vipeperushi 50, tuache mambo ya ajabu ya kulea watendaji wabovu na wanaotufanya tuwe nyuma kimaendeleo muda wote. Bravo Nyalandu.
I agree with you, hii sector ni muhimu sana na ina nafasi kubwa hata ku-triple mapato yake, so if it's necessary for a foreigner to run it, let it be ikiwa tutakosa Mtanzania mwenye sifa! But am still thinking of those Caribbean guys, ni kweli they're good in tourism industry but my concern ni kwamba they might be too good for beach tourism than wildlife tourism ambayo ndiyo kuu Tanzania. Hata hivyo, I still believe kwamba tunahitaji pia expert in beach tourism hata kama hatakuwa Head of the Board. I think the economic impact(positive) for beach tourism is much higher as compared to wildlife tourism. So, if we'd experts in this area as well, nadhani tungekuwa mbali maradufu, keeping other factors constant!Ikiwezekana......pia waende Caribbean na kwingineko ambako Utalii wanafanya vyema ili kutafuta mtu (hata kama ni foreigner)....ili atuwekee mikakati imara ya kukuza Utalii nchini.......there is a lot of money kwenye sekta ya Utalii....sisi bado tumelala.......hii mambo ya kujuana iwekwe pembeni kidogo.....
Jamaa anaelekea katika list ya mawaziri mizigo
Naona kama anawaogopa Ma Profesa na Ma-Dr wa ukweli wasiwe chini ya uoungozi wake. Labda ndio kujikweza na kutaka misifa.kutoka twitter page ya Mh. Nyalandu
"Tanzania Tourist Board's CEO, Aloyce Nzuki is relieved of his this duties following the Board's decision today. Search for new CEO underway".
Hatimaye Kichaa kamfukuza kazi Daktari jana!Mkuu Divele, kwanza huu ni uongo mkubwa mtakatifu!, kwenye utendaji wa serikali, kuna mamlaka tofauti kwa majukumu tofauti!, wale wakurugenzi walikuwa chini yake direct, na walikuwa wanawajibika kwake!, TTC ni taasisi inayojitegemea, ingawa iko chini ya wizara yake, TTB haiwajibiki kwake, ina bodi yake yenye mamlaka kamili!.
Mamlaka ya uteuzi wa Mkurugenzi wa TTB ni rais wa JMT kwa mapendekezo ya waziri husika baada ya kupokea majina kutoka kwenye bodi ya TTB, hivyo mamlaka na nidhamu ya Mkurugenzi wa TTB sio waziri bali ni bodi, na mwisho wa uwezo wa bodi hiyo ni kumsimamisha tuu,kusubiria mamlaka ya uteuzi kumfuta kazi!.
Pili kama ni kweli Mkurugenzi wa TTB kesho atafutwa kazi, then itakuwa ni kufutwa kazi kwa sababu nyinginezo na sio hiyo ya AHIF!.
Naamini kabisa Waziri Nyalandu, pamoja na kupenda sana masifa na media attention!, sio kichaa!.
Pasco
Naomba noisome vizuri nilisema mini?.Hatimaye Kichaa kamfukuza kazi Daktari jana!
pasco do you stick on your words?
.................alichokifanya NZUKI alipendekeza TTB iwe taasisi HURU kama TCRA na EWURA...walifanya utafiti...na wakakuta hata SOUTH AFRICA iko hivyo......na walipendekeza baadhi ya UNIT ambazo ziko chini ya Idara ya UTALII zihamie kwenye hiyo taasisi mpya........na walipendekeza na wafanya kazi wangehamishwa........tambua kwa kufanya hivyo TTB ingekuwa na vyanzo vyake huru vya mapato kama ilivyo TCRA na EWURA...........
Mkuu Divele, kwanza huu ni uongo mkubwa mtakatifu!, kwenye utendaji wa serikali, kuna mamlaka tofauti kwa majukumu tofauti!, wale wakurugenzi walikuwa chini yake direct, na walikuwa wanawajibika kwake!, TTC ni taasisi inayojitegemea, ingawa iko chini ya wizara yake, TTB haiwajibiki kwake, ina bodi yake yenye mamlaka kamili!.
Mamlaka ya uteuzi wa Mkurugenzi wa TTB ni rais wa JMT kwa mapendekezo ya waziri husika baada ya kupokea majina kutoka kwenye bodi ya TTB, hivyo mamlaka na nidhamu ya Mkurugenzi wa TTB sio waziri bali ni bodi, na mwisho wa uwezo wa bodi hiyo ni kumsimamisha tuu,kusubiria mamlaka ya uteuzi kumfuta kazi!.
Pili kama ni kweli Mkurugenzi wa TTB kesho atafutwa kazi, then itakuwa ni kufutwa kazi kwa sababu nyinginezo na sio hiyo ya AHIF!.
Naamini kabisa Waziri Nyalandu, pamoja na kupenda sana masifa na media attention!, sio kichaa!.
Pasco
...............Mkuu uko sahihi...ni kweli taasisi nyingi saana za serekali zimeoza........lakini unakosea pale unaposifia kufukuzwa kwa mtu bila kuingia kwenye undani wa kitu.............yes kazi ta TTB ni kutangaza utalii wa Tanzania Ndani na nje ya nchi.........TATIZO kubwa la TTB ni mfumo p[amoja na ufinyu wa budget......Tambua kuna shughuli nyingi saana za TTb zinaendeshwa kwa hisani ya Ngorongoro NA TANAPA.............TTB wanaupungufu mkubwa wa wafanyakazi.......budget ya kila mwaka ni ndogo......alichokifanya NZUKI alipendekeza TTB iwe taasisi HURU kama TCRA na EWURA...walifanya utafiti...na wakakuta hata SOUTH AFRICA iko hivyo......na walipendekeza baadhi ya UNIT ambazo ziko chini ya Idara ya UTALII zihamie kwenye hiyo taasisi mpya........na walipendekeza na wafanya kazi wangehamishwa........tambua kwa kufanya hivyo TTB ingekuwa na vyanzo vyake huru vya mapato kama ilivyo TCRA na EWURA.......wazee wa wizara wakaona......wananyimwa ulaji uiondoe TALA wizarani...........ndio ugomvi ukaanzia hapo............uozo wa pesa ulitokea kipindi cha MWENGUO(RIP) na sio cha Nzuki na pesa nyingi waliochangia walikuwa ni NGORONGORO na TANAPA...........Kenya wanatengewa fungu la kutosha wana KENYA AIRWAYS...hii inasaidia package tour zao kuwa affordable kuliko za kwetu......watalii from generating countries kama China hawawezi kuja TZ moja kwa moja mpaka wapiti nchi ya pili......hili na lanyewe ni factor kubwa......kabla ya timua timua...NYALANDU angetakiwa ajipange kimfumo mkwanza.....
To Ogah, Nas na wengineo,I agree with you, hii sector ni muhimu sana na ina nafasi kubwa hata ku-triple mapato yake, so if it's necessary for a foreigner to run it, let it be ikiwa tutakosa Mtanzania mwenye sifa! But am still thinking of those Caribbean guys, ni kweli they're good in tourism industry but my concern ni kwamba they might be too good for beach tourism than wildlife tourism ambayo ndiyo kuu Tanzania. Hata hivyo, I still believe kwamba tunahitaji pia expert in beach tourism hata kama hatakuwa Head of the Board. I think the economic impact(positive) for beach tourism is much higher as compared to wildlife tourism. So, if we'd experts in this area as well, nadhani tungekuwa mbali maradufu, keeping other factors constant!
Kama huyo Dr.Nzuki kakosea ni sawa akifukuzwa..huku kuoneana aibu na kufichana na kubebana ndo kumelifanya hili taifa lisipige hatua...igeni kwa Paul Kagame hacheki cheki na wavivu au mafisadi..Kwa hili Mh. Nyalandu hongera sana kwa kuondoa uvundo.
Kwanza huyo Nzuki ni Mtutsi, aende kwa kagame au Burundi akafanye uzembe kama aliokuwa anafanya hapa Tz KAMA ATAPONA. Wapo wengi walijipenyeza katika system na sasa ni zamu yao operesheni kimbunga kwa viongozi wasio wazawa. Big up Bodi!, Big up! Waziri! Big up mamlaka ya uteuzi kwa kutoa go ahead huyu bwana aondoke.:A S embarassed:
Jamaa anaelekea katika list ya mawaziri mizigo