Divele Dikalame
Member
- May 4, 2010
- 77
- 12
Mkuu Divele, kwanza huu ni uongo mkubwa mtakatifu!, kwenye utendaji wa serikali, kuna mamlaka tofauti kwa majukumu tofauti!, wale wakurugenzi walikuwa chini yake direct, na walikuwa wanawajibika kwake!, TTC ni taasisi inayojitegemea, ingawa iko chini ya wizara yake, TTB haiwajibiki kwake, ina bodi yake yenye mamlaka kamili!.BAADA ya kuwaondoa kwa dhulma wakurugenzi wa idara ya wanyamapori Prof. Songoro na Prof. Kideghesho, uonevu unaendelea taarifa zinasema waziri Nyarandu kesho saa tatu asubuhi ameita waandishi wa habari pamoja na wajumbe wa bodi ya utalii ambapo atatangaza kumuondoa Dr Aloyce K Nzuki katika nafasi ya Managing Director wa TANZANIA TOURIST BOARD kwa kuwa amekasirishwa na kitendo Dr Nzuki kushindwa kuifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Africa Hotel Investment Forum- AHIF 2014!!!?
Mkuu Divele, kwanza huu ni uongo mkubwa mtakatifu!, kwenye utendaji wa serikali, kuna mamlaka tofauti kwa majukumu tofauti!, wale wakurugenzi walikuwa chini yake direct, na walikuwa wanawajibika kwake!, TTC ni taasisi inayojitegemea, ingawa iko chini ya wizara yake, TTB haiwajibiki kwake, ina bodi yake yenye mamlaka kamili!.
Mamlaka ya uteuzi wa Mkurugenzi wa TTB ni rais wa JMT kwa mapendekezo ya waziri husika baada ya kupokea majina kutoka kwenye bodi ya TTB, hivyo mamlaka na nidhamu ya Mkurugenzi wa TTB sio waziri bali ni bodi, na mwisho wa uwezo wa bodi hiyo ni kumsimamisha tuu,kusubiria mamlaka ya uteuzi kumfuta kazi!.
Pili kama ni kweli Mkurugenzi wa TTB kesho atafutwa kazi, then itakuwa ni kufutwa kazi kwa sababu nyinginezo na sio hiyo ya AHIF!.
Naamini kabisa Waziri Nyalandu, pamoja na kupenda sana masifa na media attention!, sio kichaa!.
Pasco
mkuu divele, kwanza huu ni uongo mkubwa mtakatifu!, kwenye utendaji wa serikali, kuna mamlaka tofauti kwa majukumu tofauti!, wale wakurugenzi walikuwa chini yake direct, na walikuwa wanawajibika kwake!, ttc ni taasisi inayojitegemea, ingawa iko chini ya wizara yake, ttb haiwajibiki kwake, ina bodi yake yenye mamlaka kamili!.
Mamlaka ya uteuzi wa mkurugenzi wa ttb ni rais wa jmt kwa mapendekezo ya waziri husika baada ya kupokea majina kutoka kwenye bodi ya ttb, hivyo mamlaka na nidhamu ya mkurugenzi wa ttb sio waziri bali ni bodi, na mwisho wa uwezo wa bodi hiyo ni kumsimamisha tuu,kusubiria mamlaka ya uteuzi kumfuta kazi!.
Pili kama ni kweli mkurugenzi wa ttb kesho atafutwa kazi, then itakuwa ni kufutwa kazi kwa sababu nyinginezo na sio hiyo ya ahif!.
Naamini kabisa waziri nyalandu, pamoja na kupenda sana masifa na media attention!, sio kichaa!.
Pasco
Jamaa anaelekea katika list ya mawaziri mizigo
Mkuu Divele, kwanza huu ni uongo mkubwa mtakatifu!, kwenye utendaji wa serikali, kuna mamlaka tofauti kwa majukumu tofauti!, wale wakurugenzi walikuwa chini yake direct, na walikuwa wanawajibika kwake!, TTC ni taasisi inayojitegemea, ingawa iko chini ya wizara yake, TTB haiwajibiki kwake, ina bodi yake yenye mamlaka kamili!.
Mamlaka ya uteuzi wa Mkurugenzi wa TTB ni rais wa JMT kwa mapendekezo ya waziri husika baada ya kupokea majina kutoka kwenye bodi ya TTB, hivyo mamlaka na nidhamu ya Mkurugenzi wa TTB sio waziri bali ni bodi, na mwisho wa uwezo wa bodi hiyo ni kumsimamisha tuu,kusubiria mamlaka ya uteuzi kumfuta kazi!.
Pili kama ni kweli Mkurugenzi wa TTB kesho atafutwa kazi, then itakuwa ni kufutwa kazi kwa sababu nyinginezo na sio hiyo ya AHIF!.
Naamini kabisa Waziri Nyalandu, pamoja na kupenda sana masifa na media attention!, sio kichaa!.
Pasco
BAADA ya kuwaondoa kwa dhulma wakurugenzi wa idara ya wanyamapori Prof. Songoro na Prof. Kideghesho, uonevu unaendelea taarifa zinasema waziri Nyarandu kesho saa tatu asubuhi ameita waandishi wa habari pamoja na wajumbe wa bodi ya utalii ambapo atatangaza kumuondoa Dr Aloyce K Nzuki katika nafasi ya Managing Director wa TANZANIA TOURIST BOARD kwa kuwa amekasirishwa na kitendo Dr Nzuki kushindwa kuifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Africa Hotel Investment Forum- AHIF 2014!!!?
Mkuu Ogah, nakubaliana na wewe, ndio maana niksema kama boss wa TTB ni wa kuondoka, then ni wa kuondoka kwa mengine!, sio hii sababu iliyoletwa humu!, na atakayemuondoa ni bodi na sio waziri!. Mkurugenzi wa bandari alikuwa ni kuondoka siku nyingi tuu tangu ya le madudu ya Wachina wa CCCC waliomuondoa waziri Nundu na naibu wake, Mfutakamba!....Pasco Mkuu umesahau kuwa chochote kinawezekana under utawala huu........Ni nani anaunda Bodi ya Utalii?.......unakumbuka jinsi Mkurugenzi wa Bandari alivyoondolewa?..........
...Pasco Mkuu umesahau kuwa chochote kinawezekana under utawala huu........Ni nani anaunda Bodi ya Utalii?.......unakumbuka jinsi Mkurugenzi wa Bandari alivyoondolewa?..........
Mkuu Divele, kwanza huu ni uongo mkubwa mtakatifu!, kwenye utendaji wa serikali, kuna mamlaka tofauti kwa majukumu tofauti!, wale wakurugenzi walikuwa chini yake direct, na walikuwa wanawajibika kwake!, TTC ni taasisi inayojitegemea, ingawa iko chini ya wizara yake, TTB haiwajibiki kwake, ina bodi yake yenye mamlaka kamili!.
Mamlaka ya uteuzi wa Mkurugenzi wa TTB ni rais wa JMT kwa mapendekezo ya waziri husika baada ya kupokea majina kutoka kwenye bodi ya TTB, hivyo mamlaka na nidhamu ya Mkurugenzi wa TTB sio waziri bali ni bodi, na mwisho wa uwezo wa bodi hiyo ni kumsimamisha tuu,kusubiria mamlaka ya uteuzi kumfuta kazi!.
Pili kama ni kweli Mkurugenzi wa TTB kesho atafutwa kazi, then itakuwa ni kufutwa kazi kwa sababu nyinginezo na sio hiyo ya AHIF!.
Naamini kabisa Waziri Nyalandu, pamoja na kupenda sana masifa na media attention!, sio kichaa!.
Pasco
BAADA ya kuwaondoa kwa dhulma wakurugenzi wa idara ya wanyamapori Prof. Songoro na Prof. Kideghesho, uonevu unaendelea taarifa zinasema waziri Nyarandu kesho saa tatu asubuhi ameita waandishi wa habari pamoja na wajumbe wa bodi ya utalii ambapo atatangaza kumuondoa Dr Aloyce K Nzuki katika nafasi ya Managing Director wa TANZANIA TOURIST BOARD kwa kuwa amekasirishwa na kitendo Dr Nzuki kushindwa kuifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Africa Hotel Investment Forum- AHIF 2014!!!?
BAADA ya kuwaondoa kwa dhulma wakurugenzi wa idara ya wanyamapori Prof. Songoro na Prof. Kideghesho, uonevu unaendelea taarifa zinasema waziri Nyarandu kesho saa tatu asubuhi ameita waandishi wa habari pamoja na wajumbe wa bodi ya utalii ambapo atatangaza kumuondoa Dr Aloyce K Nzuki katika nafasi ya Managing Director wa TANZANIA TOURIST BOARD kwa kuwa amekasirishwa na kitendo Dr Nzuki kushindwa kuifanya Tanzania kuwa mwenyeji wa Africa Hotel Investment Forum- AHIF 2014!!!?
kutoka twitter page ya Mh. Nyalandu
"Tanzania Tourist Board's CEO, Aloyce Nzuki is relieved of his this duties following the Board's decision today. Search for new CEO underway".