jiweKampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!
Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Mkuu jiangalie sana
Ukienda BRELA ukalipia maombi ya ukaguzi utapewa taarifa za kuhusu kampuni hiyo wakiwemo wamiliki. Humu hakuna Wa kukusaidiaKampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!
Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Wewe acha uongo. Unayo taarifa ya BRELA kuhusu wamiliki Wa kampuni hiyo?Subhash na Jiwe.
Acheni uoga na kutisha watu. Mmeshaenda BRELA kuulizia?Mkuu jiangalie sana
kumwambia aende BRELA HUO TAYARI NI MSAADA!😂😂😃😃😄😄Ukienda BRELA ukalipia maombi ya ukaguzi utapewa taarifa za kuhusu kampuni hiyo wakiwemo wamiliki. Humu hakuna Wa kukusaidia
Patel ndio Magu? Tuache kuchafuana haisaidiiMagu
Mnapenda sana kukanushaWewe acha uongo. Unayo taarifa ya BRELA kuhusu wamiliki Wa kampuni hiyo?
Nyanza ilikuwepo long time. Ofisi zake zilikuwa pale Bwiru kabla hata Mwanza barabara hazina rami. Mbona tunapenda sana umbea bila kufanyia kazi taarifa?Kuna wakati unajiuliza kama sisi waafrika tuko kundi moja na hawa tunaowaita wenzetu wa mabara mengine. Yaani mtu akiingia kwenye uongozi legacy yake ni kuonyesha makampuni aliyoanzisha. Eti GSM, sijui .... oil, nk. kweli hizo ndo legacy za mtu anayepatikana kwa kura za watu milioni 20?
Kama na hii Nyanza ni sehemu ya mafanikio yanayotokana na wanasiasa, basi hakuna haja ya kujiita binadamu ktk afrika hii.
Ungekuwa na elimu kidogo, ungegundua kwamba muleta mada hana lengo la kujua jina la mtu. Shida ni uhusiano wa kampuni na wanasiasa. Sijui kwa nini hukusoma kwa uelewa!Ukienda BRELA ukalipia maombi ya ukaguzi utapewa taarifa za kuhusu kampuni hiyo wakiwemo wamiliki. Humu hakuna Wa kukusaidia
Kampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!
Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Na wewe ni tatizo la uelewa. Umesoma kilichoandikwa? Pamoja na hayo, kwani kampuni hazibadili wamiliki wake? Tangu hizo enzi bado wamiliki ni hao unaowajua? POle sana!Nyanza ilikuwepo long time. Ofisi zake zilikuwa pale Bwiru kabla hata Mwanza barabara hazina rami. Mbona tunapenda sana umbea bila kufanyia kazi taarifa?
Watanzania ni watu wenye wivu, wazushi na wafitini. Wengi wetu ni maskini mno sababu ya kufuatilia mambo yasiyo na tija yoyoteNa wewe ni tatizo la uelewa. Umesoma kilichoandikwa? Pamoja na hayo, kwani kampuni hazibadili wamiliki wake? Tangu hizo enzi bado wamiliki ni hao unaowajua? POle sana!