utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Feb 9, 2014 #1 jamaa katoka zake kanisani,kufika hom akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu,mke:"mume wang leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati mpaka kunibeba namna hii"mume:"Aah wapi aisee., mchungaji kasema tunyanyue matatizo yetu juu ili tumuonyeshe bwana...
jamaa katoka zake kanisani,kufika hom akamkumbatia mkewe na kumnyanyua juu,mke:"mume wang leo umeamua kunionyesha mapenzi ya dhati mpaka kunibeba namna hii"mume:"Aah wapi aisee., mchungaji kasema tunyanyue matatizo yetu juu ili tumuonyeshe bwana...
J JITABOY JF-Expert Member Joined Sep 2, 2013 Posts 254 Reaction score 35 Feb 11, 2014 #2 Mh!huyo nae limbukeni.