frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Wakili msomi na mwandishi mkongwe wa tanznaia, katika gazeti la leo amejaribu kuchambua vitu vinne juu yanayoendelea ndani ya chama dume CDM,
"mtafaruku wandani ya chadema unafanana sana na uliwahi kuwakumba wafuasi wa dini ya kiislam katika karne ya sita, enzi ya vita vya mahalifa vilivyosababisha wasiilam kugawanyika katika makundi matatu makubwa yani wasuni, washia na waibadhi"
NDANI YA HABARI
"hata hivyo, siku hizi kumezuka minyukano ya kifikra ndaiya chama, sasa kinaoneka kina sura nne"
Mwisho
chadema makini ndio chachu ya mabadiliko.
Nimependa kushare mawazo ya kamanda huyu sote ili kujenga chadema moja na kuondoa hizi sura nne, pamoja tunaweza sanaaaaaaaaaaa
KWANI SIKU HIZI
TANZANIA KWANZA, CHAMA BAADAYE.
SOURCE: Mawio leo , uk 05.

- chadema malipyoto, inawakilishwa na kuongozwa na mbunge wa maswa, john shibuda na wengine walioamia ccm, hii ni chadema ya wachumia tumbo, ambao wapo tayari kutoa hotuba kumsifia yeyote na cha chechote alimrad kuna kula, posho na mgao
- chadema mhimili, iliyoimara ni chadema ya watu wasiotetereka. inaongozwa na mbowe na slaa, pamoja na mabere, safari pro,komu, mnyika,heche,tundu,wenje,msigwa na baadhi yao, hii ndio mainstream chadema
- chadema nyingine ni ya watu inayowakilishwa na kuongozwa na mbunge zito zuberi kabwe , hii ni chadema ya watu wenye fikra pevu - wakat mwingine zikiwa hazijulikani mwelekeo wake, kundi hili linakubalika hadi chama tawala na watawala
- chadema ya mabaunsa, kundi linaloongozwa na lema, ......................... kwa mtu yeyote anayehoji chochote lazima apigwe, abebwe mzobemzobe na kutupwa nje hata kupitia dirishani!
Mwisho
chadema makini ndio chachu ya mabadiliko.
Nimependa kushare mawazo ya kamanda huyu sote ili kujenga chadema moja na kuondoa hizi sura nne, pamoja tunaweza sanaaaaaaaaaaa
KWANI SIKU HIZI
- Bastola zinakodishwa kwa siku 50,000/=
- Tindikali zinauzwa mpaka 5,000/=
- Vijana wa kuteka, kumwagia tindikali na kupiga bastola wanapatika kwa bei ndogo sanaaaaaaaaa pande za kitunda, temeke na tandale ( yani kumuona mtu 10,000/= muwagiwa, usafiri wa kutendea kazi unalipa wewe, posho ya kila mmoja ni 40,000/= mpaka 100,000/= kabla ya tukio na baada ya kazi utaangalia mwenyewe tu na ahizidi 500,000/=)
TANZANIA KWANZA, CHAMA BAADAYE.
SOURCE: Mawio leo , uk 05.