H Homer Member Joined May 26, 2011 Posts 99 Reaction score 22 Sep 13, 2011 #1 Mlachake (JF name) anadhani nyanya ni matunda (FRUIT)! Nyanya si tunda, ni mboga (SALAD)! Mbegu za mboga zinatafunika na kumezwa. Jaribu mbegu za chungwa halafu uje unipe habari.
Mlachake (JF name) anadhani nyanya ni matunda (FRUIT)! Nyanya si tunda, ni mboga (SALAD)! Mbegu za mboga zinatafunika na kumezwa. Jaribu mbegu za chungwa halafu uje unipe habari.