Chakuchambuka
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 342
- 63
Sasa si ungemtumia PM
pm vp! Akat sjaona mambo yake humu ndan aje ajibu kwa nn kapotea
Mkuu kama hujamuona humu, si hata sisi tutakuwa hatujamuona pia.
Na kama hatujamuona tutakua hatuna msaada kwako.
PM ingekuwa rahisi kwani ni nusu ya kumpata muhusika....kuna watu huingia JF wakati mwingine kuangalia PM tu.
nimelala nae hapa.kwani vipi?
mbona hajanifikishia mpendwa...
Hv Nyan ngabu yuko wap sjamuona mda mrefuuu
Nyani Ngabu a.k.a Monkey Ngabu yuko Kenya anamsaidia Kenyatta kuongoza nchi
Asipokufikishia mfungulie arabii