Nyangumi wa Mtwara

duuu. Huyu kiumbe wanamvua na nini?
 
Watu wanayatafuta mafuta yake.
 
Lini na mwaka gani hii kitu imetokea
mbona hawa jamaa zangu wa Gesi hawakutuambia tukio hili wakala hiyo samaki wenyewe?
 
Lini na mwaka gani hii kitu imetokea
mbona hawa jamaa zangu wa Gesi hawakutuambia tukio hili wakala hiyo samaki wenyewe?

Mbona ni juzi tu inaonekana uko bize sana hata mda wa kupitia habari na matukio yanayotokea nchini unakuwa nao kidogo sana.
 
Mbona ni juzi tu inaonekana uko bize sana hata mda wa kupitia habari na matukio yanayotokea nchini unakuwa nao kidogo sana.
NAPITA na hii je umeipata au ni yuleyule

Tanzania ni Neema tupi AU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…