Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,450 Reaction score 10,804 Sep 10, 2014 #61 Ka nyama kake jamani, watu wa Ntwara. Mchile nshaambiwa hiyo n-dudu ina chumu! Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ka nyama kake jamani, watu wa Ntwara. Mchile nshaambiwa hiyo n-dudu ina chumu! Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,154 Reaction score 137,531 Sep 10, 2014 #62 . mabeaela ni kweli kabisa mimi mpaka sahvi huwa nasemaga nilikosasa vp hiyo ambari ila kweli ukipata unapiga bao la maana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
. mabeaela ni kweli kabisa mimi mpaka sahvi huwa nasemaga nilikosasa vp hiyo ambari ila kweli ukipata unapiga bao la maana
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,576 Reaction score 28,222 Sep 10, 2014 #63 watu8 said: Kama unataka kuwa shoga mkuu, basi tafuna nyama ya nyangumi... Nyama yake huongeza vichocheo vya estrogen na kupunguza kiwango cha uzalishwaji manii... Click to expand... We ----- kweli wewe estrogen kwenye maziwa hapo?? Ushoga unaanzia kwenye mindset ya mtu. Kama hii yako.
watu8 said: Kama unataka kuwa shoga mkuu, basi tafuna nyama ya nyangumi... Nyama yake huongeza vichocheo vya estrogen na kupunguza kiwango cha uzalishwaji manii... Click to expand... We ----- kweli wewe estrogen kwenye maziwa hapo?? Ushoga unaanzia kwenye mindset ya mtu. Kama hii yako.
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,576 Reaction score 28,222 Sep 10, 2014 #64 Morinyo said: Dah! Bado tuna safari ndefu, yaani unakuta kitu kimejifia unakimbilia kitoeo. Click to expand... Ha ha ha,hakuna samaki ambaye hajifii. Wewe unaweza chinja samaki?
Morinyo said: Dah! Bado tuna safari ndefu, yaani unakuta kitu kimejifia unakimbilia kitoeo. Click to expand... Ha ha ha,hakuna samaki ambaye hajifii. Wewe unaweza chinja samaki?
K kerubi afunikaye JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,183 Reaction score 1,061 Sep 10, 2014 #65 aloycious said: Ha ha ha,hakuna samaki ambaye hajifii. Wewe unaweza chinja samaki? Click to expand... Post yako inafikirisha aisee.Ukila samaki,automatically umekula mzoga maana samaki wanakufa wenyewe baada ya kuvuliwa kwenye maji ha ha haa,duh!
aloycious said: Ha ha ha,hakuna samaki ambaye hajifii. Wewe unaweza chinja samaki? Click to expand... Post yako inafikirisha aisee.Ukila samaki,automatically umekula mzoga maana samaki wanakufa wenyewe baada ya kuvuliwa kwenye maji ha ha haa,duh!
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Sep 10, 2014 #66 watu8 said: Watu wa mbele huko huwa wanamla lakini nyama yake inaaminika kuwa na sumu.... Na matumizi ya muda mrefu kwa wanaume hupelekea uchoko na uhanithi... Click to expand... Mmmmmhhh...kwa heri
watu8 said: Watu wa mbele huko huwa wanamla lakini nyama yake inaaminika kuwa na sumu.... Na matumizi ya muda mrefu kwa wanaume hupelekea uchoko na uhanithi... Click to expand... Mmmmmhhh...kwa heri
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,006 Reaction score 110,608 Sep 10, 2014 #67 aloycious said: We ----- kweli wewe estrogen kwenye maziwa hapo?? Ushoga unaanzia kwenye mindset ya mtu. Kama hii yako. Click to expand... Yaani umeonesha dhahiri namna ulivyo Mtanzania... "Mpumbavu hubisha, mjinga hutamani kuelekezwa" - Prof Paramagamba Kabudi
aloycious said: We ----- kweli wewe estrogen kwenye maziwa hapo?? Ushoga unaanzia kwenye mindset ya mtu. Kama hii yako. Click to expand... Yaani umeonesha dhahiri namna ulivyo Mtanzania... "Mpumbavu hubisha, mjinga hutamani kuelekezwa" - Prof Paramagamba Kabudi
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 13,576 Reaction score 28,222 Sep 10, 2014 #68 kerubi afunikaye said: Post yako inafikirisha aisee.Ukila samaki,automatically umekula mzoga maana samaki wanakufa wenyewe baada ya kuvuliwa kwenye maji ha ha haa,duh! Click to expand... Chukulia umetega ndoano asubuhi umerudi nyumbani,umeenda badae umekuta samaki kanasa na amekufa!! Utajua kanasa saa ngapi na amekufa na nini? Jamaa amesema amemvua kwenye nyavu!!
kerubi afunikaye said: Post yako inafikirisha aisee.Ukila samaki,automatically umekula mzoga maana samaki wanakufa wenyewe baada ya kuvuliwa kwenye maji ha ha haa,duh! Click to expand... Chukulia umetega ndoano asubuhi umerudi nyumbani,umeenda badae umekuta samaki kanasa na amekufa!! Utajua kanasa saa ngapi na amekufa na nini? Jamaa amesema amemvua kwenye nyavu!!