Nyangumi afia pwani ya Mtwara

Ambari nikitu gan wakuu? Ikiwezekana nikakitafute.

ambari haitafutwi unaweza itafuta miaka na miaka
...ile inatokea kama bahati tu kuipata..mimi nlitaka kujifanya kuitafuta ktk pwani za bahari kilwa, lindi, mafia ahh nlichemsha ila nishaiona mara moja tu..na kuna mzee mmoja yuko kariako anashugulika sana na vitu vya baharini zamani yeye alipataga
 
Maashallah Ntwara.........nataka kutembelea Ntwara........natafuta mwenyeji........
 
mpanga liganga

Wakuu, hiyo amabr mbichi na kavu
 
Last edited by a moderator:
Utalii wa wa vivutio vya bahari kiukweli ni muhimu kuupa nafasi kama wa mbuga za wanyama
 
Kwa sababu ushagongana nayo, hebu tupe uhalisia, bei ya kilo moja ni shs ngapi? Manake tusijichoshe pwani kumbe hadithi sio za kweli...
 
Ambari nikitu gan wakuu? Ikiwezekana nikakitafute.

Liganga...hii kitu bado ni km haijathibitishwa ni nini hasa....wapo wanaosema ni nyongo ya nyangumi(huyu ni aina ya samaki) na wapo wanaosema ni manii yake....sasa ebu acha uvivu kidogooo....google "ambari ya nyangumi" utaona majibu kibao....inatumika kwa vitu vingi sana kuanzia udi unaotumiwa na papa Vatican,mpaka ule unaotumika Msikiti Mkuu wa Makkah,pia kutengeneza perfume,km kiungo cha vyakula,dawa nk,nk....wanasema hata kuiokota tu ni Baraka kubwa sana kutoka kwa Mungu.....anza kumuomba sasa pengine atakujalia...
 
Kwa sababu ushagongana nayo, hebu tupe uhalisia, bei ya kilo moja ni shs ngapi? Manake tusijichoshe pwani kumbe hadithi sio za kweli...

hadithi ni ya kweli mkuu hii kitu ipo? kkg 1 ni zaidi ya $20000 mimi niligongana nayo jamaa waliniletea tuka roka mafia kuja dar kuiuza jamaa wakapewa offer ndogo jamaa wakaenda iuza wao mombasa?
 
Maashallah Ntwara.........nataka kutembelea Ntwara........natafuta mwenyeji........

Karibu sana nikutembeza mikindani,hapo msanga mkuu....nikuonyesha kianga kwa babu yangu,jioni utembee pande za shangani kesho yake nikutie ndani ya chombo twende kisiwani ukale samaki fresh sio hao wa tangi bovu wamejaa vumbi la barabara....
 
Ewaaaaa........naja mie......nawe ndio mwenyeji wangu.........unipeleke nikanunue na shanga........
 
Mzee mwezangu ukiokota hii kitu Bhaaaasssss....umetoka hata Bakhresa atakuwa dogo kwako!

Aisee kuna jamaa aliipata hii akawauzia waarabu wa S.ARABIA maisha yake yamebadilika sana from zero to hero..huyu jamaa anapatika pale kisutu karibu na msikiti mkuu wa Mtwara.
 
Ewaaaaa........naja mie......nawe ndio mwenyeji wangu.........unipeleke nikanunue na shanga........

Shanga huko ndo nyumbani kwake.....si hivyo tu ntakuachia anti yangu akufunde japo siku moja tu.....maujanja.....huku sio km wazaramo mafiga matatu....huku figa moja tu na chungu kinatulia......pwani raha asikuambie mtu!
 
Kama unataka kuwa shoga mkuu, basi tafuna nyama ya nyangumi...

Nyama yake huongeza vichocheo vya estrogen na kupunguza kiwango cha uzalishwaji manii...

Kwa maana hiyo huko ntwara tutarajie mashoga kuongezeka kwa jinsi wanavyochangamkia nyama ya nyangumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…