Nyanga za Chuo

senator

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
1,924
66

Elimu ya chuo yataka uvumilivu huu pia wanasema unalisha ng'ombe majani wengine wanakamua maziwa
 
Ahahaaaaah hapo hakuna kitu chochote kinachoingia, halafu iwe ndio wakati ule wa pepa, ni balaa!
 
hahaha!!! Noumah! jamaa wa kushoto hapo anadai material zote zimepeperuka! haha!:becky::becky:
 
Yaani ndo maana kule FoE kipindi kile walikuwa wanazuia mavazi ya ajabu ya kukwaza wahandisi ..shule ngumu afu unakwazika kama hivyo hapo nyanga hazikwei kabisa!!
 
Yaani ndo maana kule FoE kipindi kile walikuwa wanazuia mavazi ya ajabu ya kukwaza wahandisi ..shule ngumu afu unakwazika kama hivyo hapo nyanga hazikwei kabisa!!

Kaaazi kweli kweli, Huyu mwana dada Hawez kuwa mhandisi, coz kule cdhani kama kuna type hizi. Naona huyo mhandisi kulia alikua anapiga FLUID MECHANICS, Hayo ni maandalizi ya kushikwa shati na maprof coz kwa mtindo huu hatachomoka m2
 
Kipindi kile ME 2nd yr ilikuwa utata kwa course zake wakina Mushi..NN..the animal walikuwa balaa..FoE na Law ndo zilikuwa zinaongoza kwa september conference!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…