Lakini mmemlea sana mlipaswa kumpa pesa za moto za Takukuru huyu ng'ombe angebaki historia tu.
babu mzima lkn??Mbona unatuuzia kesi teacher??
Ila kwa hali ya mpira wa Bongo ulipofikia, tunahitaji mabadiliko ya kweli...
Naomba wajumbe watupatie mtu anayeweza kututoa hapa tulipo.
Pia naomba wadau watusaidie zaidi kuwajua wagombea.
Kama mtu hajawahi kusimamia program yoyote au kuendesha kampuni/taasisi/shirika successfully, basi huyo tumjue na kumweka kando!!
Malinzi ni tapeli fulani hivi!! Hawenzi mambo ya mpira. Mbona kashindwa kuongoza chama cha mpira mkoa wa Kagera? Hata uwanja wa mpira mkoa hauna. Anagombea kwa ajili ya tumbo lake tu
Lakini mmemlea sana mlipaswa kumpa pesa za moto za Takukuru huyu ng'ombe angebaki historia tu.
Hey! Ungejua jinsi wanavyopokea ndo ungekoma, hizo hela za takukuru zingepotea.
Mahakama ya Kino ukiingia tu mkono wa kushoto kuna mabenchi ya kukaa watu pale, kwa pembeni yake linaanza jengo ambalo lina ofisi nyingi. Nyuma ya hizo ofisi kuna kama bustan ambayo wale askari magereza wanakusanyika kukaa huku wakisubiri watu wao waliowaleta toka magereza huko.
Sasa ukitakiwa kutoa hela unaenda kutolea kule nyuma ambako kuna askari kibao wenye bunduki, na anayepokea ni askari pia. Baada ya kupokea kuna mlango anaingia shaa! Bila kuhesabu ata, ole wako akahesabu akute haijatimia! Ujue utatoa nyingine kama ile mliyokuwa mmekubaliana tena wakati huo uko ndani tayari. NYAMLANII?
tena askari anyepokea pesa hatak umpe pesa kama pesa unaiweka kwenye karatasi ama bahasha na unampa kwenye kale kakona ka mwisho kabisa ka kordo ambako hakuna njia huko na yeye aitoka hapo humwoni utakuja kukutana na majibu yako ukija mahakamani.
nakumbuka Nyamlani nilimfwata hadi ofsn kwake akanirudisha eti mlungua mdogo?? tena kwa jeuri anasema kama hazitosh unataka mimi nifanyeje sina msaada yaani utafikiri kuna mti alikuagiza ukachume pesa umletee. na jeuri yake anajiona hand some kasoma kuliko wote duniani kumbe si lolote mm nataka malinzi ashinde ili tumwone mwsho wa jeuri yake. na ukweli Hosea nenda kampeleleze huyu mtu ni mwizi aliyekubuhu.................
Of all people Nyamlani hawezi kusema kwamba hatavumilia rushwa, mahakama ya Kinondoni Mh Nyamlani kupitia kwa mwendesha mashtaka wake Magoma (spelling sina hakika nazo) ndio wanaongoza kuchukua rushwa kubwa kupita wote.
Nina experience na hawa jamaa, Nyamlani nitamchukia mpaka naingia kaburini, ana Verossa yake hivi ukishamwona anaingia ujue cash imekutoka, halafu haheshimu muda wa watu, ana dharau sana huyu mtu.
Unaweza ukawa na kesi mnamsubiria yupo ndani hatoi maelezo yoyote labda muondoke mje saa ngapi, baada ya muda unamwona huyo anaondoka na Verossa yake, kurudi ni saa kumi na nusu au saa kumi na moja, sasa hata kama una kesi huna haki ya muda jamani! Sasa ukosee useme ngoja nitoke kidogo, akirudi ukaitwa haupo, wewe tena umelala ndani, kupata removal order ni Laki 3 mpaka 4 hapo.
Nyamlani? Nyamlani? Nyamlani? Naomba aje akiri kwamba anajirekebisha kwa hili la rushwa na kuheshimu watu kwanza, na yule mwendesha mashtaka wake Magoma! We waache tu.
Jamaa anajua fitina sana, ana roho mbaya, ndio maana walitaka kura ya ndiyo na hapana kule mwanzo.
NINA HASIRA NAYE, NAMWOMBA MUNGU ANISAIDIE HASIRA ZA ALICHONIFANYIA NYAMLANI ZIISHE, NIPATE MOYO WA KUMSAMEHE NA KUSAHAU KWA KWELI.
NB: Naomba kama kuna mtu anaweza kumtumia haya niliyo andika kwenye email yake afanye hivyo, ninaumia na ninaendelea kuumia kwa haki niliyodhulumiwa na Nyamlani, dharau aliyonifanyia na rushwa kubwa aliyoniomba, na mengine mengi ya kutojari muda wangu. Asnteni.
tena askari anyepokea pesa hatak umpe pesa kama pesa unaiweka kwenye karatasi ama bahasha na unampa kwenye kale kakona ka mwisho kabisa ka kordo ambako hakuna njia huko na yeye aitoka hapo humwoni utakuja kukutana na majibu yako ukija mahakamani.
nakumbuka Nyamlani nilimfwata hadi ofsn kwake akanirudisha eti mlungua mdogo?? tena kwa jeuri anasema kama hazitosh unataka mimi nifanyeje sina msaada yaani utafikiri kuna mti alikuagiza ukachume pesa umletee. na jeuri yake anajiona hand some kasoma kuliko wote duniani kumbe si lolote mm nataka malinzi ashinde ili tumwone mwsho wa jeuri yake. na ukweli Hosea nenda kampeleleze huyu mtu ni mwizi aliyekubuhu.................
babu mzima lkn??
nimekumiss sana sana sana sna san san san ...................................................
Hata Malinzi ni msanii wa kutupwa.Mara ngumi mara muziki mara urembo.Wote hawafai japo Nyamlani is far better than Malinzi.Anabebwa na Dioniz tu wa BMT.Anazungumza nadharia zaidi
Nilidhani Le mutuz amekuwa na akili kidogo. Kumbe bado mburula!
Nyamlani hafai hata kidogo kwa rushwa. Na washkaji zake fulani wa Obay polisi.
Wananuka rushwa jamani. Nyamlani! NO NO NO.
Anayesema Malinzi ana njaa hamjui vizuri. Hata kama ni hela za kaka yake lakini si mla rushwa kama Nyamlani.
I really hate mahakimu kama Nyamlani.
W. J. Malecela kwa dhati kabisa nakushukuru sana kwa kuanzisha thread hii maana sikuwa najuwa kama huyu Nyamlani ni mhalifu tu kuliko wale anaondesha kesi zao.
Uzuri wa JF ndio huu hapa wajumbe wa TFF wote wangekuwa wanausoma huu uzi basi tayari matokeo yameshajulikana kura ya maoni ya JF inaonesha dhahiri Nyamlani hafai na hana maadili.
kwani inaita?? sijui kama inaita manake haionyeshi kwangu kama inaita ama la...........niko kwa madiba niliiacha hewani tu japo niweze kupokea smsSijambo teacher....
Mbona hupokei simu??
Tuwekee basi a comparative analysis ya wagombea tujue mbichi na mbovu....
babu mzima lkn??
nimekumiss sana sana sana sna san san san ...................................................