Nyama ya sungura

fluid

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
363
235
Msaada, Wapi naweza kununua nyama ya sungura jijini dar es salaam?
 
Mimi ninao wanne nauza Mmoja Tshs 50,000 sema unaweza kupatikana wapi nikuletee hata kesho kama uko Dar kama unataka maelezo zaidi unaweza kutuma PM. Karibu

Msaada, Wapi naweza kununua nyama ya sungura jijini dar es salaam?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom