Nyama ya panya

Nyama ya panya ni nzuri sana kama ya sungura, naunga mkono , ianze kuuzwa dar
 
Hao mbona mimi nimewala sana! Sio panya wa nyumbani hao, ni wa porini, wanaitwa panya buku.
Huwa akibanikwa anakuwa mtaaamu sana, karibu sawa na chair fire.
 
Hiyo samaki nchanga ya Mikoa ya kusini?
Makabila mengi panya ni kitoeo. Jamani tuna shangaa nini? Kinacho semwa hapa ni kurasisha na kukipa th amani kitoweo kinacho tumika na wengi tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…