mmm kazi ipo, halafu katika nyongeza ya zile white meat, naona na hii ipo, na kawaida white meet ni tamu kwelikweli,...natamani kuonjaga hapa chinese restaurant nazionaga hizi menu sana ila naogopa sumu haipo jamani? ila siku nikionja ntawaambia ila lazima nionjege tu...