Nyama ya nguruwe inapatikana

Ebenezer-255

Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
45
Reaction score
8
Kwa anayeitaja nyamA ya nguruwe tuwasiliane namba 0754431045 kg i tsh 6500 waweza kupata ata kg 300 nawasilisha
 
Huyo kitimoto anapatikana wap..mbona tunarudhana roho
 
Hivi hii nyama huwa inapimwa na daktari.
 
Wee Kafiti, kitimoto apimwe kwanini? Kwani hata akiigongwa na Black Mamba hafi, leo wafikiria vi bacteria vidogodogo vitamsumbua?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…